Namuunga mkono Ray C kwa anachofanya Shigongo kwake

Namuunga mkono Ray C kwa anachofanya Shigongo kwake

Ni kweli magazeti ya huyu bwana sio kabisa, ni chombo cha ibilisi.
 
Ifike mahali ndg yangu Eric Shigongo uweke kalamu chini utende kwa mikono mitupu,baada ya kujiridhisha Ray C amerudia utumiaji dawa za kulevya kupitia hela ulizouza magazeti kwa habari yake,toa kidogo umsaidie kama alivyofanyiwa Chid Benz.
 
Shigongo anaishi kwa kuumiza watu wengi ambao hawana hatia ...Mimi sijui magazeti yake Kama Yapo kwa kuwa Huwa siangalii
 
Ukiwa na wachungaji design ya kina mzee wa upak, mlima wa , mwigiro, ka tortoise unategemea kondoo zitakuwaje??
 
Erick Shigongo anajitangaza ni Mlokole na kila mara neno Yesu halimtoki mdomoni lakin matendo yake ni mushkel mkubwa.
Kwa tafsiri sahihi ya neno mlokole ni kwamba Shigongo hajawahi kuwa mlokole hata sekunde moja.
 
hayo magazeti ndo ya wanaume wa dar wanaojalidili maisha ya wemasepetu saiv ana mpododo mkubwa.
gazeti lenyewe lina ukurasa 6 tu eti limeisha nawashanga sana wanao nunuaga hayo magazeti ya vyanzo ya habari visivo sibitishwa kama ni kweli?
Ulijuaje lina kurasa 6????
 
Kwanin wasimuandike Stara thomas au Kidoti kuwa wanatumia poda ila ww... Jichunguze ray c
 
Huyo rehema anahitaji kuwajibika kwa ajili yake mwenyewe. You are not who they say you are. Yeye amdhihirishie mama yake kuwa ameacha na ahakikishe dua la shigongo halimpati. Shigongo anamvunja moyo akiwa kama nani wake?
Mkuu fikiri kabla km mmiliki wa hayo magazeti ya udaku
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom