King’asti
Platinum Member
- Nov 26, 2009
- 27,866
- 24,985
Ukitaka kuhamishia jukumu la kufanikiwa kwako kwa mtu anaefanya biashara ya udhaifu wako, umempatia kamba ya kukunyongea.
Binafsi furaha yangu na kufanikiwa kwangu ni jukumu langu jumla, simlaumu mwenza, jirani, mzazi, ndugu wala mchungaji wangu.
Binafsi furaha yangu na kufanikiwa kwangu ni jukumu langu jumla, simlaumu mwenza, jirani, mzazi, ndugu wala mchungaji wangu.
Mkuu fikiri kabla km mmiliki wa hayo magazeti ya udaku