Nakumbuka hata Marehemu Kanumba alishawahi kulalamika juu ya haya magazeti,
Aliomba sana wapunguze kuwaandika kwa maskendo machafu kwanza mengi ni uongo,
Akasema magazeti ya udaku wakumbuke kua wao wana ndugu, wana familia na baadae watakuja kua na watoto.
Ilikua inafika kipindi mpk wanaona aibu kushiriki ktk mambo ya kifamilia kwa hayo maskendo ya magazetini, coz si wote wataelewa kua ni uongo.
Hlf ikumbukwe pia wao wanajipatia hela kupitia migongo ya watu maarufu,
Anaandika skendo ya kutengeneza, anauza faida anatia kibindoni,
Sheshe linabki kwa mtengenezewa skendo na family yake.