Ray C: Nitapambana na Global Publishers Mahakamani

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Sep 6, 2014
6,170
7,662
Yule mdada kiuno bila mfupa! Rehema Chalamila a.k.a Ray c Ameahidi kupambana na Global publishers mahakani kwa madai ya kuzushiwa habari katika ukurasa wake wa insta ameandi haya

Seriously kwa kweli huwa naumia sana sana kuona binadamu mwenzangu anadiriki kuni niharibia jina langu ili yeye apate kula! Hamjui mnaniathiri kiasi gani na hizi habari zenu? Hivi unadirikije kuandika usengwile kama huu bila hata ya aibu bila hata ya picha ya kuisapoti habari hiyo yaani ni ujinga ujinga tuu umeunganishwa na picha yangu yaani bila hata woga mmechukua picha yangu kwenye insta page yangu tayari mmeshapata story ilimradi mniharibie tu maisha yangu nyie mpate pesa mimi nife maskini!

Kama kweli mnauhakika na mlicho kiandika kwanini hamkuweka picha yangu ni kivuta hayo maunga badala yake mnaweka picha ya kituo cha mkunguni cha daladala,mmepiga picha ya kituo cha daladala cha mkunguni bado mkaona haitoshi mkaaingia kwenye page yangu insta mkachukua picha nilio jipiga mimi mwenyewe na kuitungia story kulichafua jina langu tena ndio kwanza nahangaika kurudi kwenye kazi yangu haki amungu sijawahi kusikia nyie global mmeandika story kuhusu faundation yangu na mambo mazuri nilio fanya japo mnajua kabisa nimewaokoa vijana zaidi ya sabin kutoka kwenye madawa ya kulevya na wanatumia methadone na wako fit je mnajua hilo?

Sijawahi ona mmenichangia hata nauli ya kwenda kila siku kwny dose japo kila siku inatakiwa niende na ukikosa ni mateso makali huu ni mwaka wa tatu natumia dawa tuu its not easy ni mateso makalo lakini am fucking hard working kuhakikisha sikosi kwenda kuchukua dawa! Mimi ni mwanamke jasiri naparangana na haya madawa kuhakikisha nayapinga vikali na kamwe sitarudi nyuma hizi nuksi mzipeleke kwenye familia zenu!

WEWE SHIGONGO UNAMKOSEA SANA MUNGU UNAJIFANYA MLOKOLE Lakini kazi yako ni kuharibia maisha ya wengine unasahau kuwa malipo ni hapa hapa duniani,mimi ni kapuku tu sina mbele wala nyuma mbele yako lakini bado unanichimbia kaburi angali ni mzima na wewe Mayasa Marwata ni mpuuzi usie jua kazi yako nimesoma habari yako nimejua ni mvivu wa kufuatilia habari chimbo langu la unga lajulikana sasa kwanini hukunipiga picha nikiwa navuta unga unaenda kupiga picha kituo cha daladala bwege wewweee!

NITAPAMBBA NA NYIE MAHAKAMANI
 
Kichwa cha story
 

Attachments

  • 1454331767671.jpg
    1454331767671.jpg
    26.4 KB · Views: 62
Cio siri hawa gpl wanakera sana na story zao za kisenge ooooh cjui OFM cjui nn na nn wanaingilia maisha binafc ya w2 ili washibishe matumbo yao hyo shigongo hana ulokole wwte mganga njaa tu na hao vibaraka wke ila ipo cku ynu wangese nyie waandish wa gpl!!!!!!manina zenu!!!!!
 
Mkuu punguza jazba mbona unaeleweka tu vizuri povu za nin tena???
 
1454338943919.jpg

Huyu dada wakati mwingine tumwache naye apumzike na maisha yake kama kusemwa alishasemwa sana...kuna watu wametajirika kupitia kwa huyu dada lakini wamemwacha kwa sasa ahangaike.
BINADAMU WABAYA.
 
Nenda mahakamani bi Dada huyu mbuzi grobo publish tumfanyie shere

Tupo pamoja, majungu yao yafike mwisho mamayo zao
 
Namuonea huruma sana, kwanini wasimwache aendelee kujiuguza tu mama wa watu.
 
ray c hajazoea u super star bado? super star ni mzigo wa miba, unasemwa hadi basi usipokua na thick skin utakonda sana kuwaza wanaokusema vibaya
 
Kuna wadau walikua wanasema Ray c karudi kwenye unga kumbe source zao ni Gpl ? Maskini Ray C huyu dada nampenda sana
 
ray c hajazoea u super star bado? super star ni mzigo wa miba, unasemwa hadi basi usipokua na thick skin utakonda sana kuwaza wanaokusema vibaya


Hapana mkuu, hawa ma-drug addict ni sensitive sana. Kwanza ninavyowajua hawa huwa hawafichi, kama gari limewaka wasema wazi kwasababu hawapendi hali waliyonayo. Sasa huyu mama anapambana kuachana na madawa, kumsingizia na kumwandika vibaya ni kumvunja moyo. Inasikitisha kwa kweli.
 
Cio siri hawa gpl wanakera sana na story zao za kisenge ooooh cjui OFM cjui nn na nn wanaingilia maisha binafc ya w2 ili washibishe matumbo yao hyo shigongo hana ulokole wwte mganga njaa tu na hao vibaraka wke ila ipo cku ynu wangese nyie waandish wa gpl!!!!!!manina zenu!!!!!
shigongo sio mlokole ila anajifanyaga mpigania haki za wanyonge fulani hivi, ila ni mzushi, anapigania masilahi binafsi tu yule
kuhusu kuandika private issue za watu kuliko habari zenye tija kwa jamii, hii hata usimlaum kwa kua ni biashara halali tu ibayokubalika as long as ni kweli kinachoandikwa
 
Back
Top Bottom