Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,119
- 136,866
Mbona nishampata tayari...
Inapendeza nikiendelee ili wakae mbali!
What the hell? Did you guys elope or something?
Mbona nishampata tayari...
Inapendeza nikiendelee ili wakae mbali!
Mbona nishampata tayari...
Inapendeza nikiendelee ili wakae mbali!
Gazeti naona kama unanisingizia...sidhani hata kama nimewahi kukukosoa ndugu yangu!
Gazeti naona kama unanisingizia...sidhani hata kama nimewahi kukukosoa ndugu yangu!
Gazeti ana ID mingi huenda ni gagurito...ama UpoRoto
We uhhh ...ummm..Something!What the hell? Did you guys elope or something?
We uhhh ...ummm..Something!
Wanaume kwa Ubunifu hamjambo. kila kukicha Paragraph ya Kuanzia inazinduliwa.
Ila nimegundua humu JF mwanaume akitaka kukutongoza anakuanzishia sredi.
we mchungaji sikupendi kabisa unaishi kwa assumption sana we vp?gazeti ana id mingi huenda ni gagurito...ama uporoto
Eti ikala kwake una hakika gani na hilo??inaweza kuwa ilikula kwako bwanmzee,tatizo wanaume mnafikiria mwanamke akiamua kutembea na ww ni kwa faida yenu tu
Wanaume kwa Ubunifu hamjambo. kila kukicha Paragraph ya Kuanzia inazinduliwa.
Ila nimegundua humu JF mwanaume akitaka kukutongoza anakuanzishia sredi.
we mchungaji sikupendi kabisa unaishi kwa assumption sana we vp?
Wanaume kwa Ubunifu hamjambo. kila kukicha Paragraph ya Kuanzia inazinduliwa.
Ila nimegundua humu JF mwanaume akitaka kukutongoza anakuanzishia sredi.
haha,,, naona umeamua kumaliza ubishi. mwanzishie naye threadMdada akukuambia sikupendi ujue huyu yuko radhi hata kumeza chupa akikukosa. Nakupenda pia
Mtazamo huu unaweza kuwa kweli lakini kuna wengine hawana mpango huo!Wanaume kwa Ubunifu hamjambo. kila kukicha Paragraph ya Kuanzia inazinduliwa.Ila nimegundua humu JF mwanaume akitaka kukutongoza anakuanzishia sredi.
akupende nani mchungaji mwenyewe unakula kondoo wa bwana.kwa nini ulisema kwenye jamvi mimi ni lizy?mdada akukuambia sikupendi ujue huyu yuko radhi hata kumeza chupa akikukosa. Nakupenda pia
You look pretty in pink.
Vivian na mimi nikija na siredi nitakupata