Namuogopa sana lizy!

Namuogopa sana lizy!

Hatuna Lizy ndani ya jf tulienae anaitwa Lizzy! Huyo LIZY unaemwogopa ni mke wa mkulya flani ni mshari balaa!anajulikana zaidi kama mama Ngutunyi!
 
Naomba unikumbushe mshindi utu uzima wanisumbua
Mtumishi wa mungu nilikata rufaa, nina imani zoezi litarudiwa upya baada ya Tanzania kuanza angalau kuwa na kaumeme ka mashaka atleast ( maana umemem wa uhakika chini ya utawala wa magamba sahau ).
Rufaa yangu ni kwamba @ New York, USA, hakutendewa haki ameporwa ushindi wake. maana ana uwezo wa kwenda kuwalia nyama choma ili arudi na energy ya kutosha kubishana.
 
Mama nanihii... naona vijana sasa wamekuzoea angalia usikute taraka yako ngerinaro!
Sasa kwani kosa ni langu jamani?!Badala ya kunitisha mimi na talaka ungewatisha wao na panga ili wakae mbali.
 
Hahahaha! Kijana unachekesha. Endelea kuogopa hvyo hvyo ili usiwe unapost upupu jf.
 
Mtumishi wa mungu nilikata rufaa, nina imani zoezi litarudiwa upya baada ya Tanzania kuanza angalau kuwa na kaumeme ka mashaka atleast ( maana umemem wa uhakika chini ya utawala wa magamba sahau ).
Rufaa yangu ni kwamba @ New York, USA, hakutendewa haki ameporwa ushindi wake. maana ana uwezo wa kwenda kuwalia nyama choma ili arudi na energy ya kutosha kubishana.
Huyo jamaa kenye red hapo ana gari mpya sasa hivi hana hata mda wa kuja hapa JF kila mda yuko barabarani
 
Huyo jamaa kenye red hapo ana gari mpya sasa hivi hana hata mda wa kuja hapa JF kila mda yuko barabarani
Kwahiyo na yeye amekuwa kama wale watoto wa kidosi wanavyosumbuwaga watu na makelele ya magari yao jioni wakishavuta SHISHA mitaa ya Masaki?
I wish ungekuwa uwezo wangu @ New York, USA, tungemuozesha Lizy hii ingekuwa ndoa ya aina yake.
 
Kwahiyo na yeye amekuwa kama wale watoto wa kidosi wanavyosumbuwaga watu na makelele ya magari yao jioni wakishavuta SHISHA mitaa ya Masaki?I wish ungekuwa uwezo wangu @ New York, USA, tungemuozesha Lizy hii ingekuwa ndoa ya aina yake.
Nashukuru Mungu haiko ndani ya uwezo wako!!!
 
Kwahiyo na yeye amekuwa kama wale watoto wa kidosi wanavyosumbuwaga watu na makelele ya magari yao jioni wakishavuta SHISHA mitaa ya Masaki?
I wish ungekuwa uwezo wangu @ New York, USA, tungemuozesha Lizy hii ingekuwa ndoa ya aina yake.
huyu hana makelele wala shida na mtu .. yeye ugonjwa wake ni kupiga misele tu na nissan yake mpya hadi ichakae ndio utamuona hapa JF
 
Ninapofikiria kupost chochote kile huku kwenye jukwaa la mahusiano mara nyingi huwa namfikiria Lizy. Nalazimika kuipitia kazi yangu mpaka mara kumi hata iwe ndogo vipi, sababu ya kufanya yote hayo ni kujiandaa na changamoto ninazoweza kuzipata kutoka kwa Lizy. Duh, yaani huyu dada namuogopa sana labda anikosoe kwa maandishi haya ambayo nimeamua kuandika bila kuyakagua. Yote kwa yote huwa najiuliza huyu dada kama ni mke wa mtu inakuwaje huko kwa mumewe?

SASA hiyo kwenye red ndo topic yako au?, sasa kama ni mke wa mtu wewe inakuhusu nini? unataka kujua inakuwaje huko nyumbani kwake si ukamuulize mumewe. wacha ujinga dogo.
 
Back
Top Bottom