Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,534
- 146,106
ha,ha,haaaa.nilikuwa napita 2! lakn hii imenipunguzia ribs zangu!Huwezi pata wewe nani anatafuta msukule?
Hahahaaha....hamna lolote!!Ukimpenda Lizzy utakuwa unajiumiza tu!! Midume yote JF inamkodelea macho!
Kwa yale ninayoyaona yanatokea kwa wengine ndo maana nakuwa makini sana. Yaani lazima nijiulize hii ikifika katika mikono ya Lizzy itapokelewa vipi!
Que...?!jumma jumma Lizzy
hebu anza ku-count thread zinazokuhusu,Hahahaaha....hamna lolote!!
Mtoto mvaa magandwa muache huyo bibie bwana...tangu jana unamwandama...mpotezee basi!!!lizzy waukwel kuliko FF
Hahahaaha....hamna lolote!!
Wala hata sitakosoa kitu...ntakusifia mpaka ushangae.Kwa yale ninayoyaona yanatokea kwa wengine ndo maana nakuwa makini sana. Yaani lazima nijiulize hii ikifika katika mikono ya Lizzy itapokelewa vipi!
Mentor, this has really touched my heart.
Unajua nilikua nasema leo hata m2 akinianzishia Sredi silegea, Lakini naona Mentor unataka kubadili msimamo wangu.
Let me read it again.
Njoo nikumwagie ACID!Teh teh teh teh teh teh teh unacheka mwenyewe! Nitakufata kukupa mauwa hapo chuoni kwenu Uhasibu Arusha.
Orait then...leo ntaiota JF!hebu anza ku-count thread zinazokuhusu,you should be proud of that Lizzy!
Ha ha ha I like that Nyani maana majina huwa hayatafsiliwi, kama mfano huwezi kum-address Mr Bush kama 'Bw. Kichaka'.I don't like to be called monkey. I like Nyani.
Poa dear....uniambie tu mapema niandae kagauni!lizzy niko bize leo ila nakulike si utakuwa matron kwenye kitchen pat yangu?
Njoo nikumwagie ACID!
Utamkuta anakusubiria na chupa...Hamna aliyeona hii! Nitamwachia Mlinzi basi
Whaatzz up bruhHuwezi pata wewe nani anatafuta msukule?
Whaatzz up bruh
Kha! kumbe we mrahisi hivyo? Nikimwaga mistari tayari unabadili msimamo? Hahahahaaa mentor jiandae kutemeshwa mzigo!