Namuelewa sana huyu mdada

Usiniulize nimemuotaje, ila usiku mzima ame-cross akili yangu sana.

Mkuu kama ile proportionality ya mausi tu pusi ni kweli, basi ndoto yako ipate kibali machoni pa Bwana....kitu kipo biyee😀😀😀😀....BTW kwenye threads za kusifia KE kama hizi huwezi kuwaona KE wa JF wakichangia,...watatafuta jitu la kuleta hapa nao waanze kulipigia promo, nadhanani kwa sasa watakuja na Mkulu au MUGULU kumpigia debe.
 
Ukiendekeza ndoto utajikuta unafunga ndoa na kiganja!!
 
Mwenzako alikuwa anaota ndani ya box letu we ni kiboko umekwea pipa kwa ndoto mpaka kwa obama
Jamaa itakuwa kapanda Boing 734 au KLM hahaha noma sana
 
Usiniulize nimemuotaje, ila usiku mzima ame-cross akili yangu sana.



Nadhani huyu ni dada UMMY Mwalimu, au siye????...Ila mleta uzi ana matatizo, uwe na heshima kidogo kwa viongozi...siyo kuleta masuala ya viongozi humu...watu wengine hawana staha...wanaweza kutoa comments za matusi humu na hasa baadhi ya watu wa UKAWA..
 
Hakuna alietukana.
Na upinzani haujafikia hiko kiwango cha kutukana.
And it seems watu wanamuelewa sana.
 
dah kweli tunatofautiana,yani mm hajawai hata kunivutia hata kidogo kwanza sijui namuonaje!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…