Namuelewa sana huyu mdada

Namuelewa sana huyu mdada

Nadhani huyu ni dada UMMY Mwalimu, au siye????...Ila mleta uzi ana matatizo, uwe na heshima kidogo kwa viongozi...siyo kuleta masuala ya viongozi humu...watu wengine hawana staha...wanaweza kutoa comments za matusi humu na hasa baadhi ya watu wa UKAWA..


CCM ndiyo mabingwa wa matusi na mipasho.
 
Back
Top Bottom