tutafikatu
JF-Expert Member
- Dec 17, 2011
- 3,399
- 4,731
Mke wa mtu mkuu
Weee,anamuwaza kiongozi? Anataka nini kwake?muda mwingine ndoto ni marejeo ya yale unayoyawaza/kuyafikiria
Inaelekea huwa unamuwaza sana
Nyieee shauri zenyuu,hivo va Arachuga mnavo pigaga.Kairuki mnene sana ila huyu ana mwili wa kawaida tu.
She manageable.
kawaida bwana kumuwaza kwan naye si binadamWeee,anamuwaza kiongozi? Anataka nini kwake?
Mimi kati ya viongozi wanawake namkubali sana huyu mama namkubali sana kwa utendaji wake kwakweli nataman hata siku moja nionane naye ili nimpe pongezi zake toka kwangu.
Viva mamaView attachment 398066View attachment 398067View attachment 398068

