Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,146
- 137,073
Chuki kwa CCM zinaisha nikimuangalia tu.
![]()
Naam, nampenda sana huyu mdada.
Chuki kwa CCM zinaisha nikimuangalia tu.
![]()
Wanadai ukimwangalia mwanamke kwa kumtamani umeshazini nae![]()
.
Chuki kwa CCM zinaisha nikimuangalia tu.
![]()
Mzuri mno and she is just 43 (according to the wikipedia)
Watu mnataka kula mpaka kuku wa dawa mkipatwa na mapunye msilalamike.
Hii ndoto yako haipo katika orodha ya makosa ya uchochezi kweli!!!!?
Huyu tatizo ana vimeno vya mbele dizain flan hivi havina mvutolakini huyu dah ananivutiaga balaa
![]()
Unampendea niniNaam, nampenda sana huyu mdada.
Ahahahah mi nimempendea kamdomo kakeKashingo kake😉.
Acha uzuzu ...Nadhani huyu ni dada UMMY Mwalimu, au siye????...Ila mleta uzi ana matatizo, uwe na heshima kidogo kwa viongozi...siyo kuleta masuala ya viongozi humu...watu wengine hawana staha...wanaweza kutoa comments za matusi humu na hasa baadhi ya watu wa UKAWA..