Namuelewa sana huyu mdada

Namuelewa sana huyu mdada

Yaani wewe jamaa upo kama mimi aisee ila sema tofauti sijawahi kumuota! Lips za mdomo wake na shigo+miguu mim hoi kusema ukweli!!
 
Huyu yupo serious sana bhana.
Kiukweli mm ndio maana nawachukia sana watu wanaoiponda awamu hii ..
Hii awamu ina viongozi makaini sana mama samia sulihu namkubali sana huyu mama
 
Yaani wewe jamaa upo kama mimi aisee ila sema tofauti sijawahi kumuota! Lips za mdomo wake na shigo+miguu mim hoi kusema ukweli!!
Jambazi unaradhi ww kijana unakuwa hoi kwa waziri wako?
 
Jamani nidhamu itawale,wengine humu umri wenu mdogo sana! hizi keypads zisiwape kiburi...
 
Jambazi unaradhi ww kijana unakuwa hoi kwa waziri wako?
Mkuu Uwaziri si cheo tu! kwani inahusiana vipi na mambo mengine

ukiweka sana kitu moyoni ni kujitafutia maradhi
 
Age Just a Number!!

Huwezi kushtakiwa popote kwa kusema ya moyoni tena kwenye mapenzi kungekuwa na mahakama ya mapenzi ndiyo!

Usiwashitaki wapenzi. Wanaweza kukugeuzia kibao wakakushitaki wewe.
 
Kiukweli mm ndio maana nawachukia sana watu wanaoiponda awamu hii ..
Hii awamu ina viongozi makaini sana mama samia sulihu namkubali sana huyu mama

She is wiser also.
 
Yaani wewe jamaa upo kama mimi aisee ila sema tofauti sijawahi kumuota! Lips za mdomo wake na shigo+miguu mim hoi kusema ukweli!!

Atleast, nitapata kampani tukienda jela.
 
Hapo mtaani kwako hakuna hata aliyemzidi,we ni mvivu wa kuota! mi namuota yule michelle kila siku
Mwenzako alikuwa anaota ndani ya box letu we ni kiboko umekwea pipa kwa ndoto mpaka kwa obama
 
Usiniulize nimemuotaje, ila usiku mzima ame-cross akili yangu sana.

CV7w9m-WEAEPSfY.jpg
Daaah.....ana shingo nzuri sanaaa
 
Back
Top Bottom