Yofav
JF-Expert Member
- Mar 12, 2021
- 4,338
- 7,966
Nipende kusema tu kwamba huu muonekano wa sasa wa JF nimeupenda sana! 😍🔥
Kwa kweli, ilikuwa ni ndoto yangu kuona siku moja JF ikiwa na theme kali, ya kisasa, na kuachana na ile theme ya zamani iliyokuwa boring. Leo nimefanya update, na nilichokiona ni 🔥🔥🔥
Pongezi sana kwenu wakuu! Mmefanya kazi nzuri sana. 👏🔥