mang'ang'a
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 828
- 379
Usiniulize nimemuotaje, ila usiku mzima ame-cross akili yangu sana.
![]()
wanasema ukikutana na choo ndotoni usikitumie, we ulifanyaje?
Usiniulize nimemuotaje, ila usiku mzima ame-cross akili yangu sana.
![]()
Mkuu kama ile proportionality ya mausi tu pusi ni kweli, basi ndoto yako ipate kibali machoni pa Bwana....kitu kipo biyee😀😀😀😀....BTW kwenye threads za kusifia KE kama hizi huwezi kuwaona KE wa JF wakichangia,...watatafuta jitu la kuleta hapa nao waanze kulipigia promo, nadhanani kwa sasa watakuja na Mkulu au MUGULU kumpigia debe.Usiniulize nimemuotaje, ila usiku mzima ame-cross akili yangu sana.
![]()
Kibongo bongo kuota unajidhiki usingizi wako tu....Mwenzako alikuwa anaota ndani ya box letu we ni kiboko umekwea pipa kwa ndoto mpaka kwa obama
Mimi kati ya viongozi wanawake namkubali sana huyu mama namkubali sana kwa utendaji wake kwakweli nataman hata siku moja nionane naye ili nimpe pongezi zake toka kwangu.
Viva mamaView attachment 398066View attachment 398067View attachment 398068
HahahahahaUkiona hivyo ujue uko karibu kutumbuliwa
...mwanamke wa ki-tanga huyonan huyo kwan
Jamaa itakuwa kapanda Boing 734 au KLM hahaha noma sanaMwenzako alikuwa anaota ndani ya box letu we ni kiboko umekwea pipa kwa ndoto mpaka kwa obama
Naye ameona mbuyu wa kumfichamkuu kila shetani na mbuyu wake ndo bas tena
Usiniulize nimemuotaje, ila usiku mzima ame-cross akili yangu sana.
![]()
Hakuna alietukana.Nadhani huyu ni dada UMMY Mwalimu, au siye????...Ila mleta uzi ana matatizo, uwe na heshima kidogo kwa viongozi...siyo kuleta masuala ya viongozi humu...watu wengine hawana staha...wanaweza kutoa comments za matusi humu na hasa baadhi ya watu wa UKAWA..
Kwani wewe unajua umri wa kila mtu humu?Jamani nidhamu itawale,wengine humu umri wenu mdogo sana! hizi keypads zisiwape kiburi...