dah kiukweli huyu mmama ni mzuri, wa ukweli yaani.Najua na kuheshimu hilo.
Ila kama yupo humu ajue kuna secret admire somewhere.
Ummy Mwalim waziri wa Afya wazee, walemavu na watotoNi nani huyo?.
ila siyo mzuri kushinda wewe dear!Uyu mama huwa mzuri saanaa
Kairuki mzuri asee mora atukuzweHuyu mama na yule Kairuki ni warembo sana aisee.
Mungu kawaumba vizuri sana.
Manageable tena mkuu bavaria!!Kairuki mnene sana ila huyu ana mwili wa kawaida tu.
She manageable.

Hii ndoto yako haipo katika orodha ya makosa ya uchochezi kweli!!!!?

Mzuri mno and she is just 43 (according to the wikipedia)
