Namtafuta the Boss

ananidanganya afu namwamini, afu ananidanganya tena.

Anakaribia kuingia PM kabisa.

Sasa na wewe umeanza kuwa hivyo
tulikubaliana tuchakachue ile tenda afu sijui ukampa nani
lazima nicheze rafu hadi apate Mwali.
Kumbe wewe mdanganyika eh?
Tenda haichakachukuliwi.
Kama offer zetu hazikuwa attractive ndio hivyo tena imekula kwenu.
 
Ngoka nikatafute mathematician wa tenda aje atusaidie jinsi hii calculation inavyoenda.

Kumbe wewe mdanganyika eh?
Tenda haichakachukuliwi.
Kama offer zetu hazikuwa attractive ndio hivyo tena imekula kwenu.
 
mmmh, naanza kuwa na wasi wasi na wewe
umeanza kuwa mjanja kama AshaDii siku hizi

mbona kuna moja umemjibu naniliyu wangu kupotia ID yangu?

Kongosho...... nakuita asali yangu. Kikojoleo kinahitaji msaada wako!

unanisaliti lakini navumilia tu.
 
babu ODM, wewe si tulikubaliana?

mJ1 yupo, mie simwonei wivu.

Mie huyu tuliunganishwa na wazazi kwa afya na maradhi

ila wewe vizalishio tugonganisha chiaz kama kawaida.

Kongosho...... nakuita asali yangu. Kikojoleo kinahitaji msaada wako!

unanisaliti lakini navumilia tu.
 
Bossman na kokoo wapi na wapi? kokoo mwenyewe mwiiingi...lol
 
Hivi huwajui wanawake wewe??

Anakutia wivu bure.
Huyu hata nimkute na The Boss wala sishtuki
najua mbinu za wadada

Eti eh? Yasije yakawa kama yale ya Diamond na Wema Mlimani City
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom