Namtafuta the Boss

ulitaka tuambizane I DO kwenye sredi za watoto
sie wazee wazima huwa tunaangalia tu.

Just stay away from my kichane cha ndizi.

Gusa wengine wooote lakini hapa nitakupoteza, najua kucheza rafu na fair.

Kwanza. Sasa hivi nimemwambia kuloug off jei efu.

Tafuta dogo dogo wenzio, labda jaribu Bagah anaweza kukufaa.

Jamani mnanionea kongosho kule kwenye jf couple hakusema kama yeye na the Boss wameshasema I DO
 
ulitaka tuambizane I DO kwenye sredi za watoto
sie wazee wazima huwa tunaangalia tu.

Just stay away from my kichane cha ndizi.

Gusa wengine wooote lakini hapa nitakupoteza, najua kucheza rafu na fair.

Kwanza. Sasa hivi nimemwambia kuloug off jei efu.

Tafuta dogo dogo wenzio, labda jaribu Bagah anaweza kukufaa.

Mwanangu tutabanana hapahapa mpaka kutakucha halafu mi nashida tofauti na ufikirivyo mwache BAGAH yeye kashakuwa pendapenda
 
ha ha ha, hata aje na kijiko hawezi.
Hapa kafika kigoma haoni yeyote.

Kwa kifupi, hadanganyiki, ngoja atakuja kusema mwenyewe hadanganyiki.

Ndo maana kamPM lakini amekataa kumjibu, it was a polite way ya kusema Hell NO.

Ila sababu hajiongezi na hasomi picha, ameshindwa kusoma mchezo ulio clear.

Konnie unapinduliwa hivi hivi
 
endelea na rejao tena ikibidi mbebe kabisa.
Lakini huyu aliyekataa kujibu PM, its for a reason

na reaon yenyewe ni mie
si unaona navyomlisha hapo avartani.

Mi sitishiki na kwa taarifa yako nipo na REJAO tunafuatilia uchaguzi kwa karibu
 
ha ha ha, hata aje na kijiko hawezi.
Hapa kafika kigoma haoni yeyote.

Kwa kifupi, hadanganyiki, ngoja atakuja kusema mwenyewe hadanganyiki.

Ndo maana kamPM lakini amekataa kumjibu, it was a polite way ya kusema Hell NO.

Ila sababu hajiongezi na hasomi picha, ameshindwa kusoma mchezo ulio clear.

Nakuaminia konnnie ukiona wanataka kukuchukulia TB wako nishtue niwashughulikie
 
ha ha ha, hata aje na kijiko hawezi.
Hapa kafika kigoma haoni yeyote.

Kwa kifupi, hadanganyiki, ngoja atakuja kusema mwenyewe hadanganyiki.

Ndo maana kamPM lakini amekataa kumjibu, it was a polite way ya kusema Hell NO.

Ila sababu hajiongezi na hasomi picha, ameshindwa kusoma mchezo ulio clear.

sija PM hangekuwa kashajibu namtamfuta hadharani uone kuwa huna chako tena
 
wee siku ile nilivyotaka kumbip msukuma
mbona ulitaka kunitumia tindikali na radi????

Huwa tunachezea kwingine
sio moyo ulikofika bei lol

wacha nimlinde, ndo maana wanasema ukimpenda utamlinda.

kongosho wasi wasi kaa mji ulokosa balozi...
 
haya subiri jibu lako.

He will never say anything, hata am humbled hasemi.

Labda nimsemee, he is humbled japo huna chako.

sija PM hangekuwa kashajibu namtamfuta hadharani uone kuwa huna chako tena
 
wee siku ile nilivyotaka kumbip msukuma
mbona ulitaka kunitumia tindikali na radi????

Huwa tunachezea kwingine
sio moyo ulikofika bei lol

wacha nimlinde, ndo maana wanasema ukimpenda utamlinda.

Hehheeee tena usimtaje taje msukuma wangu atajing'ata bure ....ooh asije bure kujibana na machine za gym!

ngoja mechi inoge hapa tuone nani zaidi bana...
 
Mi sitishiki na kwa taarifa yako nipo na REJAO tunafuatilia uchaguzi kwa karibu
Achana na Kongosho na Sweetlady...hao wanakaba vibaya sana! Tuendelee zetu kupata mvinyo wakati tunasikilizia ushindi!
 
ushindi hoyeee watakunywa tindikali kwa hasira nawaonea huruma.polee kongosho polee. macho yamekutoka kama unalinda sanduku la kura
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom