Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,999
- 24,163
si ulimwona alivyokuwa mdogo???
Anajua kabisa anakopeleka mboga na kwenda kulala.
Odm wa wajukuu wote, usiseme, ila mie ndo kipenzi cha wajukuu wake.
Ni kumng'oa ndevu tu.
Anajua kabisa anakopeleka mboga na kwenda kulala.
Odm wa wajukuu wote, usiseme, ila mie ndo kipenzi cha wajukuu wake.
Ni kumng'oa ndevu tu.
Mi mwenyewe nilidhani hivyo eti!
Siku hiyo nasalimiana na boss kirafiki tu kongosho nusu anitoe macho!