The secretary
JF-Expert Member
- Jan 14, 2012
- 4,148
- 2,542
- Thread starter
- #41
Mi namtafta fesi buku mmemuona?
sijui atakuwa amekung'utwa huko Arumeru! lakini atakuja kazima cm kongosho anambugudhi
Mi namtafta fesi buku mmemuona?
Kongo nilidhani we ni asali ya ODM? ?
Hehheeee tena usimtaje taje msukuma wangu atajing'ata bure ....ooh asije bure kujibana na machine za gym!
ngoja mechi inoge hapa tuone nani zaidi bana...
the boss nilimuona mtaa wa kongo anachagua za sikukuu.........
Nakuaminia konnnie ukiona wanataka kukuchukulia TB wako nishtue niwashughulikie
the boss nilimuona mtaa wa kongo anachagua za sikukuu.........
namtafuta aliniahidi pasaka hii atakuwa chako ni chako
huko mtaa wa kongo anamtafutia kongosho madila.
mie kwake sina makuu
sikukuu simdai anipeleke sijui wapi
huwa analeta kuku na mchele tunapika home
tunaangalia movie zetu za kiswahili
akiniletea na dira mie full shangwe.
namtafuta aliniahidi pasaka hii atakuwa chako ni chako
huko mtaa wa kongo anamtafutia kongosho madila.
kanipigia atafika muda si muda kaenda kukuchukulia dagaa
hili ndilo koloni kuu lipitalo makoloni yoote.
Slogan yangu, nina mme mmoja wa ndoa,
nina wamme wadogo wawili, kibuzi kimoja na wake wawili.
Huyu ndo wa ndoa.
Loh! Nimechoka roho na mwili........
Huyu mumeo hana mawivu?
Au umempa limbwata?
Kongo nilidhani we ni asali ya ODM? ?
Mi mwenyewe nilidhani hivyo eti!
Siku hiyo nasalimiana na boss kirafiki tu kongosho nusu anitoe macho!
Mi mwenyewe nilidhani hivyo eti!
Siku hiyo nasalimiana na boss kirafiki tu kongosho nusu anitoe macho!
Mbona utachoka zaidi ndo maana nimemchukua
kumbeeeeeee ndo maana kongosho leo ana rahaaaaa
Loh! Nimechoka roho na mwili........
Huyu mumeo hana mawivu?
Au umempa limbwata?