Namtafuta the Boss

The secretary

JF-Expert Member
Jan 14, 2012
4,149
2,536
Jamani where are you nashida na wewe nime ku pm mtandao ukazingu wherever ur pm me please
 
Inbox yake imejam. we nitumie mimi nitamfikishia (in fact yuko hapa next to me anakusoma)
 
tafadhali, huyu sio Maufong.

Tulia kama unanyolewa, huyu ndo baba watoto wangu, baba yake Maufong.

Usije ukamgusa baba mkwe wako.
 
hebu mwacheni King wangu, niliuza ng'ombe wangu wote kwa ajili ya kampeni.

We najua hatudhuriani, maana nina namba ya naniliyu.

Please, usimwambie chochote
nisije nikaharibu bahati yangu kwake.
Haya si mambo ya April's fool,
niliona nijiropokee tu, bila consequence. lol
 
pm zake huwa haziendi hadi ucopy kwa mtu fulani ndo zifike...pole wee
 
tafadhali, huyu sio Maufong.

Tulia kama unanyolewa, huyu ndo baba watoto wangu, baba yake Maufong.

Usije ukamgusa baba mkwe wako.

Jamani mi namtafuta Marc Antony wangu kwa mazuri sio mabaya halafu huyu ni boss mi ni secretary wake kuna makaratasi hajasaini basi kama ni baba yake Maufong na ni baba yangu pia. Mi ninaye YUWE
wangu
 
Hehehe! Haya bana!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom