Namtafuta Baba yangu aitwaye Peter Matiko

Status
Not open for further replies.
Unatoa povu kama single mama vile..
 
Hakuwa mwanafunzi wa chuo cha uhasibu Arusha kweli?
 
Wew

Wewe..kila mtu afikirie vile anavyofikiria..unataka kuforce mawazo yako yafanane na yangu???!!..na ukikijua kilichofanya wazazi wake watengane inatosha..wazimu huu
Chaaaaaa! Dada stress zako usizilete hapa. Mtu anamtafuta baba yake nyie mnajifanya mnajua kushauri !!!!
Pole sana. Mie sijawahi kuwa na wazimu. Pole sana, unajua hata chizi huwaona walio wazima ni machizi kama yeye alivyo. Pole sana. mama D, huyu mwambie akae mbali nami kabisaa.
Mitano tena.😃😃😃
 
kumtafuta mzazi wako uliyempoteza sii dhambi, na kwa wakati niliofikia sihitaji msaada kutoka kwake, huenda nikawa msaada kwake, relax!

Kwani amesema anahitaji Msaada wako.

Relax , kama angekuwa anakutaka kukuona wewe basi ingekuwa rahisi kukupata kwa sababu anapajua kwa Mama yako.

Hana mpango na wewe ndio maana hakutafuti. Huyo Baba aliyekulea si umpe huo msaada. Yaani umelelewa kwa jasho la mtu mwingine leo uanze kumtafuta mtu ambae hajawahi kuwa na mpango na wewe.

Kulea watoto wa kambo ni tabu sana na haya ndio madhara. Mwanamke akishakuwa na mtoto Hapana , shida ndio kama hizi.

Mwanamke akiwa na mtoto yaani ampeleke kwa baba yake mapema kabisa nisije kupoteza nguvu zangu kumlea halafu likikuwa anaanza kumtafuta babake amsaidie, absurd yaani. Kama anakupenda si angekutafuta ,
 
Kumbe unawaza kupata chochote?
 
😂😂😂😂 Jamani
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mara 700 kabisaa
Hapana, Mara 1400 !!
 
Majina mengine bhana malaika mtoa baraka anaweza kukupita hivihivi wakati jina lako halisi unalo.... alisikika mlevi mmoja hivi hapa liquid pub
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…