Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,959
- 70,712
Milionea wa kesho tafuta hela mdg wangu! hakuna siri zaidi ya hiyo..ukiwa na hela haya uzi km huu huwez andika kbs🙌🙌!.. mie niliwah kesha MMU sikuwah kuona faida kwakwel..achana na nyuz za hiv mdg wangu unajipotezea muda wa kuwa milionea...!
Asante kunipenda..nimeolewa dadako hapa!
sio geneius hata kidg mm..niliwah kosea maishan sasa nimejifunza maisha kwa njiangumu kidg😶!
Sasa natambua maisha ni nn...! sina akili hizo aisee..!ila nabarikiwa ninachogusa kinakuwa!
karibu