Nampenda sana huyu dada wa jF.

Nampenda sana huyu dada wa jF.

Hatukuwa na maana hio. Tunakumbushana comments maarufu kulingana na Uzi. Ukitoa Uzi fulani lazima uzione hizo comments. Uzi kama huu ni hio comment aliosema hazard cfc . Au umileta uzi labda gari imekusumbua utasikia 'tushajua una gari' au ukiulizia tiles utasikia 'tushajua unajenga' ndio JF yetu hio

Nakumbuka kuna siku ulisimulia kisa flan kuhusu mtoto baadae katika story ulisema unapaki gari basi bana ukasema jamani najua watu mtatokwa povu kisa nimesema gari nilicheka sana
 
Usipoweka angalizo thread inabadilika maudhui
 
Hatukuwa na maana hio. Tunakumbushana comments maarufu kulingana na Uzi. Ukitoa Uzi fulani lazima uzione hizo comments. Uzi kama huu ni hio comment aliosema hazard cfc . Au umileta uzi labda gari imekusumbua utasikia 'tushajua una gari' au ukiulizia tiles utasikia 'tushajua unajenga' ndio JF yetu hio
Ndio maana nikamwambia hakusoma comments za juu
 
Nna id 4 mkuu[emoji28][emoji28]! hv ww unaniòna under 25 eh..hahaha hizo zama mm sijawahi ziishi..ili iwaje sasa[emoji23][emoji23][emoji23]! ...kamon meeen!
Basi fanya mpango ufikirie jamaa kwa namna moja au nyingine. Kama kuna portion yoyote unaweza kumpangisha kwenye himaya yako, fanya umpe kipande
 
Back
Top Bottom