Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 54,962
- 54,069
Wanawake wapo ila utambuzi ndio mgumuHamna wanawake humu ID fake hiz mbn unakuwa mwehu???
Wanawake wapo ila utambuzi ndio mgumuHamna wanawake humu ID fake hiz mbn unakuwa mwehu???
Teh ....Nimepokea kwa mshtuko mdogo kitendo cha ombi langu kukataliwa sambamba na masimango ya wanazengo humu.
Wapo wamenibeza kwamba huenda manengelo ni dume la mbegu.
Wapo wamenibeza kwamba sina hela nataka kulelewa na manengelo.
Itoshe tu kuwaambia kuwa ni kweli huyu binti nampenda. napenda comments na posts zake. In short namkubali. Lakini sio kimapenzi. Siwezi kumpenda nisiyemjua na wala sijawahi kumwona. Haiwezekani kabisa.
Huu uzi ni uzi wa taarifa kuwa nampenda. Na kama niliandika nampenda kimapenzi ni ile kunogesha uzi.
Sawa my future wife. Nitasubiri huenda utaachwa. Jimbo likiwa wazi tu usisite kunijulisha.Am taken! kazana uwe milionea kweli.. ! see u at the top [emoji4]!amka kumekucha!
Milionea wa kesho tafuta hela mdg wangu! hakuna siri zaidi ya hiyo..ukiwa na hela haya uzi km huu huwez andika kbs[emoji119][emoji119]!.. mie niliwah kesha MMU sikuwah kuona faida kwakwel..achana na nyuz za hiv mdg wangu unajipotezea muda wa kuwa milionea...!
Asante kunipenda..nimeolewa dadako hapa!
sio geneius hata kidg mm..niliwah kosea maishan sasa nimejifunza maisha kwa njiangumu kidg[emoji55]!
Sasa natambua maisha ni nn...! sina akili hizo aisee..!ila nabarikiwa ninachogusa kinakuwa!
karibu
😂😂😂Hayo ni mapumziko tu sasanimeacha kbs kilaji mkuu🙌 nakosa muda kbsss...nikiwa jiji lenu ndo najilipua
😂😂😂Hayo ni mapumziko tu sasa
Ila inafaa kuvuta pumzi kidogo.
Natumai unaendelea poa mpendwa
Aisee pole sana..Hamna mkuu hali si hali
Mie naona kawaida..ni km wanaume wanaotongoza mwanamke usk hata hamuon vzr..!au wanaotongoza hovyohovyo..!ndo nature yenu...ni km sie tunavyojidanganya kila mwenyr gari ana hela au kila anayeendesha gari ni lake😊Duhh aise. ....
Hivi huu ujasiri wa kuwaandikiaga gals uzi humu huwa Wana utoa wapi hawa vijana
Aisee pole sana..
Bado upo hiyo hiyo hospital ya hao mazombi au ushatoka?!
Mie naona kawaida..ni km wanaume wanaotongoza mwanamke usk hata hamuon vzr..!au wanaotongoza hovyohovyo..!ndo nature yenu...ni km sie tunavyojidanganya kila mwenyr gari ana hela au kila anayeendesha gari ni lake[emoji4]
Safi 👏👏 👏..Nilitoka mudaa...niko mihangaikoni...nadeiwaka zangu
Safi 👏👏 👏..
Ugua pole mkuu Mungu akurejeshee hali yako soon