Nampenda sana huyu dada wa jF.

Nampenda sana huyu dada wa jF.

milionea wa kesho

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2015
Posts
328
Reaction score
633
Ni manengelo

Anaonekana genius sana na mchakarikaji. Ana akili ya kutafuta pesa. Ni mtu mjanja sana.

Sasa huyu dada/mama namkubali sana.

Kama hajaolewa, aisee nitafanya kila liwezekanalo nimuoe. Ila kama ameolewa basi mume wake anafaidi sana. Kuwa na mke kama huyu ni raha sana hata kama hana chura.

Ombi langu kwake, naomba awe rafiki yangu tuwe tunachati na ikiwezekana baadae tufike mbali zaidi. Nimekuja hapa sababu nilimfata PM akaniambia you may not start conversation with the following recipient manengelo

Namwomba anitazame kwa jicho la husuda.

Niko timamu na akili zangu ila kusema ukweli huyu dada namzimia
 
We mwenyewe mbumbumbu unataka genius we kulupuka tu mjini apa
 
Godson huyu hukumpata,?

Kwamfano Manengelo kakiwa ni kazee kikongwe je. Kenye busara zake vipi utakapenda usikute ni kabibi kenye wajukuu zake. Hebu fikiria mara mbili
 
Ni manengelo

Anaonekana genius sana na mchakarikaji. Ana akili ya kutafuta pesa. Ni mtu mjanja sana.

Sasa huyu dada/mama namkubali sana.

Kama hajaolewa, aisee nitafanya kila liwezekanalo nimuoe. Ila kama ameolewa basi mume wake anafaidi sana. Kuwa na mke kama huyu ni raha sana hata kama hana chura.

Ombi langu kwake, naomba awe rafiki yangu tuwe tunachati na ikiwezekana baadae tufike mbali zaidi. Nimekuja hapa sababu nilimfata PM akaniambia you may not start conversation with the following recipient manengelo

Namwomba anitazame kwa jicho la husuda.

Niko timamu na akili zangu ila kusema ukweli huyu dada namzimia
We chalii umekurupuka huko kudandia lugha adhimu. Kukuangalia kwa jicho la husuda una maana gani ? Nyambaf
 
Wewe unatumiaga?
Nimeipenda sana hii figure ngoja nikatoe ndulele zangu kazi ianze![emoji116][emoji4][emoji4][emoji4]
tapatalk_1565038141610.jpeg
 
Back
Top Bottom