agata edward
JF-Expert Member
- Nov 25, 2014
- 6,641
- 9,414
😎 😎 😎Nimeipenda sana hii figure ngoja nikatoe ndulele zangu kazi ianze![emoji116][emoji4][emoji4][emoji4] View attachment 1178062

Ni manengelo
Anaonekana genius sana na mchakarikaji. Ana akili ya kutafuta pesa. Ni mtu mjanja sana.
Sasa huyu dada/mama namkubali sana.
Kama hajaolewa, aisee nitafanya kila liwezekanalo nimuoe. Ila kama ameolewa basi mume wake anafaidi sana. Kuwa na mke kama huyu ni raha sana hata kama hana chura.
Ombi langu kwake, naomba awe rafiki yangu tuwe tunachati na ikiwezekana baadae tufike mbali zaidi. Nimekuja hapa sababu nilimfata PM akaniambia you may not start conversation with the following recipient manengelo
Namwomba anitazame kwa jicho la husuda.
Niko timamu na akili zangu ila kusema ukweli huyu dada namzimia
Wewe watu wa nyuma keyboard unawapenda kivipi?Ni manengelo

Anamuoa hivyo hivyo si tunatetea ushoga?Mkuu, je ukigunduwa kwamba ni mkaka utafanyaje..??
Huo uchakarikaji wake wewe umeujuaje? Au kwa kusoma anavyoandika humu?
Hakuna mtu uliyemdondokea humu🤔🤔Anyway habari ya wewe J.
Mtoa mada anataka kulelewa ..... Namshauri manengelo asikubali kulea huyu kiumbe
Hadi umeweka picha yake 😅😅
manengelo mama kuna mtu kakufia huku,japo kuna watu hawatamuelewa muanzisha uzi
Ile ya...naona umekuja na id nyingine kujipa promo??Kuna comment moja maarufu sijaiona....
Wewe ungeweza kumwelewa?
Bebe[emoji41][emoji41][emoji41] [emoji41] [emoji41]