Nampenda sana huyu dada wa jF.

Nampenda sana huyu dada wa jF.

Sasa mkuu unadhani haya mambo ni serious kweli?
Ukipigwa chagga ndiyo inavyokuwa unatafuta kichaka cha kujificha, pole sana kupigwa cha mbavu kunauma

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Unataka kutuaminisha umenogesha uzi Pole Mkuu haya mambo yapo Tu
 
Nimepokea kwa mshtuko mdogo kitendo cha ombi langu kukataliwa sambamba na masimango ya wanazengo humu.

Wapo wamenibeza kwamba huenda manengelo ni dume la mbegu.

Wapo wamenibeza kwamba sina hela nataka kulelewa na manengelo.


Itoshe tu kuwaambia kuwa ni kweli huyu binti nampenda. napenda comments na posts zake. In short namkubali. Lakini sio kimapenzi. Siwezi kumpenda nisiyemjua na wala sijawahi kumwona. Haiwezekani kabisa.

Huu uzi ni uzi wa taarifa kuwa nampenda. Na kama niliandika nampenda kimapenzi ni ile kunogesha uzi.


Hapo nimekuelewa mzee baba! cheers!
 
Pole sana Kapumzike Mwanaharakati wa kujitegemea Mwakani chukua fomu kuna jimbo lipo wazi huwezi kujua [emoji1548][emoji1548][emoji1548]

😂😂😂 huo muda wa kuzurura kutafta huruma za wananchi bora niendelee kukusany
20190811_153823.jpg
20190811_153823.jpg
a km hv
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji3059][emoji8][emoji8][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji2][emoji2][emoji4][emoji4][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]
Milionea wa kesho tafuta hela mdg wangu! hakuna siri zaidi ya hiyo..ukiwa na hela haya uzi km huu huwez andika kbs[emoji119][emoji119]!.. mie niliwah kesha MMU sikuwah kuona faida kwakwel..achana na nyuz za hiv mdg wangu unajipotezea muda wa kuwa milionea...!
Asante kunipenda..nimeolewa dadako hapa!
sio geneius hata kidg mm..niliwah kosea maishan sasa nimejifunza maisha kwa njiangumu kidg[emoji55]!
Sasa natambua maisha ni nn...! sina akili hizo aisee..!ila nabarikiwa ninachogusa kinakuwa!

karibu
 
Back
Top Bottom