ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 54,704
- 127,610
Huenda mkuuDefinitely itakuwa ni Maandishi yake Tu.
Huenda mkuuDefinitely itakuwa ni Maandishi yake Tu.
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]Hahahahh lakini hatuwezi kujua,labda kampenda kweli
Ha ha ha ha....hio hioIle ya...naona umekuja na id nyingine kujipa promo??
Ningemuelewa
Lazima uwe huna kazi ya kufanyaHapa kama uko serious unaweza kutengeneza picha ya haiba ya mtu kwa zaidi ya 70% kuwa sahihi, kusanya post na comment zake za mwaka mzima, bila kujari ni jukwaa gani zichakate zitakupa picha tu huyo ni nani.
Kuwa muongo muda wote ni kazi jamani
Babe miss you 😍 🥰Bebe[emoji41][emoji41]
Siyo kila mtu muongo,usikariri!Mkuu unapenda mtu kulingana na stori na matukio anayoeleza #fake
Hivi vijana siku hizi mnapeleka wapi hisia zenu
Ngoja nikufungulie kauzi labda ndio utaamini niko serious.[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Eeeeh nazimiaNgoja nikufungulie kauzi labda ndio utaamini niko serious.
Mtaka cha uvunguni...... hapo, ni kama kujitoa mhanga kama wazee wetu walivyokatiza misitu yenye simba usiku wa manane kwenda kunyemelea binti kijiji cha jirani na hatari ya kukoswakoswa na mishale. Lazima ilipie ghalama ya muda na unaweza usifanikiwe by the time una profile kamili wenzako walishawahi.Lazima uwe huna kazi ya kufanya
Nifanyie basi wepesi kule.Eeeeh nazimia
Kuna comment moja maarufu sijaiona....
Wapi tena trouble mbona wanipa mitihani mtoto wa mwanaume mwenzio mimiNifanyie basi wepesi kule.