Jimmy De Lite
JF-Expert Member
- Jun 10, 2019
- 635
- 2,341
Kitu cha kuwa nacho makin humu Jf ni hizi ID za kike,huwa siamin kama Jf kuna wanawake na kama wapo ni wale age imeenda.

Hyo ya kwanza huwa inanichefuaga
Ooooh! Basi sawa mama.Nilishasign out mdgo wangu!
Hivi wewe hujawahi kufunguliwa kasredi eeh!Ha ha ha ha ya pili na ya tatu
Sijawahi....nipo sanaHivi wewe hujawahi kufunguliwa kasredi eeh!
Halafu ulipotelea wapi?
mie pia ni me-
Rejection Always Hurts
Bora hata usingetokea hapa kuliko ulivyo mpiga cha mbavu hadharani, lazima aumie
Japo binafsi nimefurahi ulivyomtolea nje [emoji41][emoji41]
[emoji3][emoji3][emoji3]
Muah!
Kuna jamaa humu nilikutana nae kila nikiona comment zake huwa nacheka [emoji23][emoji23] yaani ana uzi wake anajigamba ana ukwasi kumbe Mungu ndio anajuaLol. .hata manengelo pia ..acha basiii .
Naenda kulala bwana...nimechoka..acha niwaache na chitchat zenuUnasema [emoji85][emoji85][emoji85][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549]
Naenda kulala bwana...nimechoka..acha niwaache na chitchat zenu
Kuna jamaa humu nilikutana nae kila nikiona comment zake huwa nacheka [emoji23][emoji23] yaani ana uzi wake anakigamba ana ukwasi kumbe Mungu ndio anajua
Nimepokea kwa mshtuko mdogo kitendo cha ombi langu kukataliwa sambamba na masimango ya wanazengo humu.
Wapo wamenibeza kwamba huenda manengelo ni dume la mbegu.
Wapo wamenibeza kwamba sina hela nataka kulelewa na manengelo.
Itoshe tu kuwaambia kuwa ni kweli huyu binti nampenda. napenda comments na posts zake. In short namkubali. Lakini sio kimapenzi. Siwezi kumpenda nisiyemjua na wala sijawahi kumwona. Haiwezekani kabisa.
Huu uzi ni uzi wa taarifa kuwa nampenda. Na kama niliandika nampenda kimapenzi ni ile kunogesha uzi.

Ukipigwa chagga ndiyo inavyokuwa unatafuta kichaka cha kujificha, pole sana kupigwa cha mbavu kunauma
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unataka kutuaminisha umenogesha uzi Pole Mkuu haya mambo yapo Tu
Rejection Always Hurts
Bora hata usingetokea hapa kuliko ulivyo mpiga cha mbavu hadharani, lazima aumie
Japo binafsi nimefurahi ulivyomtolea nje [emoji41][emoji41]
[emoji3][emoji3][emoji3]
Pole bhana!Nimepokea kwa mshtuko mdogo kitendo cha ombi langu kukataliwa sambamba na masimango ya wanazengo humu.
Wapo wamenibeza kwamba huenda manengelo ni dume la mbegu.
Wapo wamenibeza kwamba sina hela nataka kulelewa na manengelo.
Itoshe tu kuwaambia kuwa ni kweli huyu binti nampenda. napenda comments na posts zake. In short namkubali. Lakini sio kimapenzi. Siwezi kumpenda nisiyemjua na wala sijawahi kumwona. Haiwezekani kabisa.
Huu uzi ni uzi wa taarifa kuwa nampenda. Na kama niliandika nampenda kimapenzi ni ile kunogesha uzi.
Sitaki mishe nakutaka ww. Mishe nafanya mwenyewe dear future wife.Kama ana akili za kichaga aje tufanye mbishe...![emoji4]