Nampenda sana huyu dada wa jF.

Nampenda sana huyu dada wa jF.

Hatua za kufanya

1. Mtumie laki tisa mpesa bila pesa ya kutolea
2. Mwite geto mpatie 20,000 pesa ya kutolea
3. Jitoe jamii forum
4. Fanya mazoezi na zingatia matumizi sahihi ya dawa za kuongeza siku
5. Juta na elimisha watu waache uzinzi
Duh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mleta mada utasababisha kuanzia Leo tuanze kukutana na I'd mpya humu zawanawake zenye busara nahekima katika mijadala yahumu kwakujua nawenyewe wataopoa bwana humu bila kutumia nguvu nyingi
 
Back
Top Bottom