nampenda rafiki yangu mpaka naogopa

nampenda rafiki yangu mpaka naogopa

faby pole sana kwa kujaziwa mapovu
 
Last edited by a moderator:
ylmDiva na rannyvl,watoto wa wahindi,au mko nyumba moja vyumba tofauti nyie mmejuanaje na hapa naona wote mmeingia mwezi mmoja cku tofauti
 
Hapa kuna nini......uzee huu......naona unanijia vibaya......

Kuna mtoto kamkothea mtoto mwendhake hivyo kamthambu, halafu kathema wathichedhe naye tena makidamakida, mdako, kombolela, ukuti-ukuti na kimama-mama.

Thatha kuna huyu mtoto anaitwa ylmDiva ndio amekuja hapa kuthemeledhea, bathi mie nimemwambia ateme mate tumchape huyo rafiki yake...

sVillageKidsPlaying.jpg
 
BAK kwa kuwa wewe ni kaka mkubwa hebu waulize kwanza ni wa jinsia gani
kwa maana naona kama dunia ina kizunguzungu.

Endelea kumuomba msamaha na pia uache kukurupuka mnapoudhiana na kumtumia "sms za hasira". Uwe unasubiri hasira ziishe ndio muwasiliane tena.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK

Similar Discussions

Back
Top Bottom