nampenda rafiki yangu mpaka naogopa

nampenda rafiki yangu mpaka naogopa

ylmDiva

Member
Joined
Apr 5, 2013
Posts
34
Reaction score
7
nilipoingia 4m 5 nimesoma shule ya girls only...nilimpenda rafiki yangu mmoja sanaaaa kuliko wote...nilimpa zawadi nyingi hata wakati wa likizo nilikuwa namtembelea kwao..nilimpenda sana...kila tukigombana tunasameheana.juzi aliniboa kidogo nikamtumia sms za hasira za kwamba cmpendi tena amen ila badaae hasira zilipoisha nkajikuta nalia sana kumpoteza rafik yangu nilimuomba msamaha ila hakunijibu bkoz sms nilizomtumia zilikuwa mnbaya sana...bado nampenda rafikitoka na hatuwezi kuwa marafiki tena!
 
Sasa sisi tukusaidie kitu gani?
 
Endelea kumuomba msamaha na pia uache kukurupuka mnapoudhiana na kumtumia "sms za hasira". Uwe unasubiri hasira ziishe ndio muwasiliane tena.
 
Achana nae bhana me cna mtu kama vp 2onyeshane mahusiano ya ukweli call 0657474814
 
  • Thanks
Reactions: amu
or ask someone to talk to herr wats her name?mayb i can talk to herr if u allow me
 
Endelea kumuomba msamaha na pia uache kukurupuka mnapoudhiana na kumtumia "sms za hasira". Uwe unasubiri hasira ziishe ndio muwasiliane tena.

BAK...nshajifunza kutokana na makosa!!-itorudia tena...Asante
 
diva diva, unatest kupost thread nini!?..bila shaka imekubali. mia
 
nshamaliza bhululu..jaman!ila cjui nfanyeje ili tuwe frnds tena

Kama umemaliza sawa,sasa mpe mda kidogo huyo rafiki yako angalau mwezi hivi,halafu endelea na juhudi zako za kutafuta suluhu.Vilevile tafuta mtu awakutanishe ili muongee.Nimependa ulivyojieleza maana umetambua kosa lako na unaomba msamaha.Huo ndiyo ustaarabu.Mwisho na muhimu kuliko yote, muombe Mungu sana.
 
Si vibaya kujifunza kupitia makosa. Kama mko mji mmoja nenda kamtembelee nyakati ambazo unajua atakuwa nyumbani ili uendelee kumuomba samahani. Kila la heri.

BAK...nshajifunza kutokana na makosa!!-itorudia tena...Asante
 
or ask someone to talk to herr wats her name?mayb i can talk to herr if u allow me

ouwpz.....!!da thng dat med us 2fyt was so much privately btn me&ha only!f i tel sum1 2tok 2ha hw wl dat pason start???
 
ylm diva is it my bestt .....??this is chocolate..yo neii
 
  • Thanks
Reactions: Paw
Kama umemaliza sawa,sasa mpe mda kidogo huyo rafiki yako angalau mwezi hivi,halafu endelea na juhudi zako za kutafuta suluhu.Vilevile tafuta mtu awakutanishe ili muongee.Nimependa ulivyojieleza maana umetambua kosa lako na unaomba msamaha.Huo ndiyo ustaarabu.Mwisho na muhimu kuliko yote, muombe Mungu sana.

asante sana...nitafanya hivyoooo
 
nilipoingia 4m 5 nimesoma shule ya girls only...nilimpenda rafiki yangu mmoja sanaaaa kuliko wote...nilimpa zawadi nyingi hata wakati wa likizo nilikuwa namtembelea kwao..nilimpenda sana...kila tukigombana tunasameheana.juzi aliniboa kidogo nikamtumia sms za hasira za kwamba cmpendi tena amen ila badaae hasira zilipoisha nkajikuta nalia sana kumpoteza rafik yangu nilimuomba msamaha ila hakunijibu bkoz sms nilizomtumia zilikuwa mnbaya sana...bado nampenda rafikitoka na hatuwezi kuwa marafiki tena!
https://www.jamiiforums.com/login.php?do=login

Nipe namba zake nikusaidie kumbembeleza? Inaniuma sana kumpoteza rafikiyo wa ukweli ukizingatia waliobaki wengi masela mavi...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom