nampenda rafiki yangu mpaka naogopa

nampenda rafiki yangu mpaka naogopa

H aha ha, kwa nini hukuni-bbm? I was missing u, I like u no more. You broke my heart (hapo narusha vitu hovyo kwa hasira)

Khah, mwanamke mwenzangu.

Hahahaha.
Yaani unakuwa na shosti afu mara 'you have really hurt me. Hujanipigia simu toka asubuhi'.

Huku drama za Paw. Na wewe uniongezee! Si tutauana na stress? Kha!
 
nilipoingia 4m 5 nimesoma shule ya girls only...nilimpenda rafiki yangu mmoja sanaaaa kuliko wote...nilimpa zawadi nyingi hata wakati wa likizo nilikuwa namtembelea kwao..nilimpenda sana...kila tukigombana tunasameheana.juzi aliniboa kidogo nikamtumia sms za hasira za kwamba cmpendi tena amen ila badaae hasira zilipoisha nkajikuta nalia sana kumpoteza rafik yangu nilimuomba msamaha ila hakunijibu bkoz sms nilizomtumia zilikuwa mnbaya sana...bado nampenda rafikitoka na hatuwezi kuwa marafiki tena!

Are you lesbians?
 
endelea kumtukana, uvumilivu utamuisha atakutafuta afu atakupeleka polisi, utawekwa ndani, atakuonea huruma na kuja kukutoa. utapata nafasi ya kumuomba urafiki tena, na mtakua marafiki.
 
Rafkiako ni jinsia gani, na je ni jinsia tofauti na wewe au!
 
jamii forums siku hizi imekuwa ya ajabu, mtu akipiga punyeto anakuja kuandika, mtu akiliwa kabang anatoa taarifa , mtu akitongozwa anakuja kuandika haya ni maajabu jamii forums haikuwa hivyo,
 
diva wats that private thing?? ni pm ,,,nione wat i can do about it...am serious, i wana help u to solve it
 
nilipoingia 4m 5 nimesoma shule ya girls only...nilimpenda rafiki yangu mmoja sanaaaa kuliko wote...nilimpa zawadi nyingi hata wakati wa likizo nilikuwa namtembelea kwao..nilimpenda sana...kila tukigombana tunasameheana.juzi aliniboa kidogo nikamtumia sms za hasira za kwamba cmpendi tena amen ila badaae hasira zilipoisha nkajikuta nalia sana kumpoteza rafik yangu nilimuomba msamaha ila hakunijibu bkoz sms nilizomtumia zilikuwa mnbaya sana...bado nampenda rafikitoka na hatuwezi kuwa marafiki tena!

majibu yako ya form 4 ni ya mwaka jana ama, maana umesema upo form 5.

usilie mtoto mzuri thawa eh nitakuletea juisi ya kijoto nikirudi jioni
 
jamii forums siku hizi imekuwa ya ajabu, mtu akipiga punyeto anakuja kuandika, mtu akiliwa kabang anatoa taarifa , mtu akitongozwa anakuja kuandika haya ni maajabu jamii forums haikuwa hivyo,[/QU

Wanaleta utoto wao wa FB
 
Usimuombe msamaha through simu, iwe kwa kupiga au sms, mtafute umuombe msamaha macho kwa jicho
 
Ukija hapa siku nyingine uandike vizuri, miandiko ya kifesibu huko huko fesibuku

wote n GURLS...hzo fikra zenu potofu msamehewe hamjui mkifikiriacho 4rl!!USWAHILI UNAWASUMBUA

thx kwa wote walionishaury....!nilimuomba msamaha leo kanielewa kwmba zlikuwa hasira tuuu...so we a frnds again ..ASANTENI

.....THE END V DA TOPIC.....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom