nampenda rafiki yangu mpaka naogopa

nampenda rafiki yangu mpaka naogopa

olryt...Nei!a wl do dat....ntampa pink&purple...ha 4ne cover z purple...unhuuuuu
 
kwamtoro...ahahahhhhhaaaa!!kabysa picha n jambo muhimu ahhhaaaa
 
ahhhhaaaa.....wat bwot yellow???kwikwikwiiiiiiiiiii Nei
 
Sjaelewa kitu hapo

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
...na mimi naogopa jinsi unavyompenda mpaka unadata,alafu huo utangulizi wa "nimesoma shule ya girls only" unanipa maswali mengi sana, funguka kidogo tukusaidie ...
 
nilipoingia 4m 5 nimesoma shule ya girls only...nilimpenda rafiki yangu mmoja sanaaaa kuliko wote...nilimpa zawadi nyingi hata wakati wa likizo nilikuwa namtembelea kwao..nilimpenda sana...kila tukigombana tunasameheana.juzi aliniboa kidogo nikamtumia sms za hasira za kwamba cmpendi tena amen ila badaae hasira zilipoisha nkajikuta nalia sana kumpoteza rafik yangu nilimuomba msamaha ila hakunijibu bkoz sms nilizomtumia zilikuwa mnbaya sana...bado nampenda rafikitoka na hatuwezi kuwa marafiki tena!
https://www.jamiiforums.com/login.php?do=login

Enyi mamluki rudini facebook please
 
figganigga kwanini usiwaambie hawo watoto wasitujazie server zetu na mipovu
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom