nampenda rafiki yangu mpaka naogopa

nampenda rafiki yangu mpaka naogopa

Hellow..... ylmDiva i may help u get back 2 ur frnd...can we gotta knw each aza?.......den ni PM
 
Last edited by a moderator:
Hii lugha unayoandika ya kidigital zaidi. Unampendaje kihivyo she mwenzako! Kusoma girls only ni shida sana! Who was he between you!
 
YlmDiva....verry sor 4 dat.....i might help u to clear ur misunderstanding with ur lovely friend if u only allow me,,lets met if u wont mind
 
Ungekua daslam ningeku connect na lile kundi maarufu la L World, labda wangekushauri kwa ufasaha kuhusiana na tatizo lako la kupenda vinasaba vya jinsia yako.
 
wote n GURLS...hzo fikra zenu potofu msamehewe hamjui mkifikiriacho 4rl!!USWAHILI UNAWASUMBUA

thx kwa wote walionishaury....!nilimuomba msamaha leo kanielewa kwmba zlikuwa hasira tuuu...so we a frnds again ..ASANTENI

.....THE END V DA TOPIC.....
 
acha swagga za kilooser dogo uswahili ndo nin? na uhakika in the last 10 yrs hujaishi nje ya tz na hata africa so tht makes u a mswahili na huna uzungu wowote ule..watu tuembrace vya kwetu so kukazania uzungu uzungu ushawah sikia wapi mhindi amwambia mwenzie acha uhindi au uchina wako..
 
Tafuta zawadi ambayo alikua anapenda sana then nenda nayo ukamuombe msamaha kwani ni hasara kufanya rafiki kuwa adui na c vyema!!
 
acha swagga za kilooser dogo uswahili ndo nin? na uhakika in the last 10 yrs hujaishi nje ya tz na hata africa so tht makes u a mswahili na huna uzungu wowote ule..watu tuembrace vya kwetu so kukazania uzungu uzungu ushawah sikia wapi mhindi amwambia mwenzie acha uhindi au uchina wako..

mathikyn wee..umeshuka mwenyewe!!ahahahaha.....U gat bad & wrng assumptions....AM NT BORN 2B A LUZER DUDE..AM NT MSWAHILI...t touched enheee...ahahahahahahha!!Mswahili huyooooooooooo
https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/446155-nampenda-rafiki-yangu-mpaka-naogopa-6.html
 
Hivi inakuwaje hadi mtu unagombana, tena na rafiki yako?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom