Nampenda huyu Mume

Kwahiyo awe na wewe badala ya huyo kiroba cha njugu mawe

Wala sikumaanisha hivyo, nilimaanisha nampenda jinsi anavyomkubali mkewe, na pia kuhusiana na mtazamo wa huyo dada. Kwa jinsi alivyo hakutegemea mume wake angempenda na kuendelea kuwa nae, ukizingatia mume mwenyewe ni very good looking
 
Kwani huyo mwanamke ana shida gani?

Mwanamke mzuri sana huyo.

Kwa standard za huko, baadhi yao wanamuona ana tatizo. Ukiingalia kwenye page yake ya Insta alivyo post hiyo picha alitukanwa matusi yote hapa duniani na kuambiwa kuwa, " she's promoting being physically unfit"
Na kwamba anakuwa mfano mbaya kwa wasichana watakao ona ni sawa kuwa hivyo, na wengine wakamwita obese and unhealthy.
Lakini pia kuna walio mtia moyo na kumsifia kwa ujasiri wake kuonekana kwa kila mtu ndani ya hicho kivazi cha kuonyesha maumbile yake.
 
Haa! Hapana, siyo kwa miili hiyo na ingekuwa ni ulemavu haki yenu kupendwa jinsi alivyo ila si kwa mwili huo wa kujitakia.

Mpite hivi na miili yenu hiyo. Mimi tumbo flat na mwembamba nikilalia juu ya kifua si kama nipo juu ya boya la kikosi cha uokoaji baharini. Itakuwa mission impossible.

Kigezo cha huyo dada kupendwa msikitumie kutetea manyama uzembe ya kujitakia.
 
Mkuu kumbuka ana watoto, miili yetu hubadilika pindi tunapo beba mimba. Na hata baada ya kujifungua hatuna guarantee miili yetu kurudia hali ya kawaida. Sio kama mtu anafurahia kuwa hivyo.
 
Ni akina nani hao? Cellulites na tumbo sio ishu ila shape iwepo unajua hips, chura
 
Afu mcheki mwenyewe sasa full sita sita kifuani,kaenda hewani dakika,rangi ndo yenyewe eeh mjengo wa maana.. wengine sasa wanajifanya wachaguzi Mara oooh hivi Mara huyu vile ukiwaangali hata machoni hawajai...ngoja niishie hapa....hihihihiiiii
Mumu!
 
Babuuuu me cjaongelea uzurii,.afu rekebisha usemi Mimi kiwango afu namvuto vilevile ,sema nn watu kama nyie hatuwezi wa-date kwasababu hamjiamini
mama hujui jinsi navo shobokewags
na ninawala kweli
 
Mkuu kumbuka ana watoto, miili yetu hubadilika pindi tunapo beba mimba. Na hata baada ya kujifungua hatuna guarantee miili yetu kurudia hali ya kawaida. Sio kama mtu anafurahia kuwa hivyo.
tatizo lenu hata kula hamjui mle je
i can guarantee you thata msosi ukijua kuuuzingatia huwi bonge..tatizo mnafakamia ovyo haya mavyakula.muone Zari yupoje??
 
Wala sikumaanisha hivyo, nilimaanisha nampenda jinsi anavyomkubali mkewe, na pia kuhusiana na mtazamo wa huyo dada. Kwa jinsi alivyo hakutegemea mume wake angempenda na kuendelea kuwa nae, ukizingatia mume mwenyewe ni very good looking

Ohoo
 
mbona nyie hamtumpendi team viber100? na mnatuponda sana ila sisi tunawapnda hata mlivyomatindinya

vita ya mapenzi haitomuacha mtu salama
 
Kuna mwenye superdol zake tukapige picha na swimming suits
 
Back
Top Bottom