Ah...wanataka hadi tujitangaze!Na wewe unasubiria hayo maelekezo nini
Haaahaaa haya subiria hapoAh...wanataka hadi tujitangaze!
Hujasomeka mkuu nini maana yako hapo
Staki kuamini kuwa page 5 hakuna jibu hata 1 la uhakika lililopatikana.
Ndio mana huwa nasema kuwa wasomi wetu wengi wa IT kibongo bongo wanaishia kuwa mafundi simu lakini wanabisha.
Hapo kuna mengi mkuu kunajufundishwa afu usielewe pia kuna selfishness ya mtu mwenyewe kuona kuwa kushare na wenzio taaluma yake aliyopata pasipo na malipo yeyote ni kuchamba mbwa
So ukijaribu kuangalia kiundani zaidi huwatunaishia na vitu vidogo kwa maana hatutaki kushare na kupanua wigo ya uelewa hususani kwa masuala ya science inayotuzunguka kwann tusiseme kuwa binadamu aliumbwa na allien ...na tusibishe coz hatuna tabia ya kuchunguza ,kushare na kueleweshwa tukaelewa mambo n mengi mkuu
Wabongo nan aliwaloga ?
Whats up scan ina kaa mda mfupi sana ukitoka tu nayenyewe bas mpka uscan again changamoto kama unaishi naye mbali itakuwajeUliwahi kutumia whatsscan mkuu...?
Hii unapata access kwa Whatsapp yake kwenye text, images na calls pia.
Unaifahamu bro...?
Whats up scan ina kaa mda mfupi sana ukitoka tu nayenyewe bas mpka uscan again changamoto kama unaishi naye mbali itakuwaje
Hai jf samahani nombeni msaada wenuNi sahihi akini ni mke wangu na haki ya kujua na kufuaatilia yote kama majibu ya ukimwi tunashirikishana sembuse hili mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni kwa information purpose, zipo apps nyingi za kutrack simu ikiwemo sms na call mfano celebrus.Hai jf samahani naombeni msaada wenu nawezaje pata maonge ya mtuu mwingine? Tafadhal jaman nixaidien
Hii ni kwa information purpose, zipo apps nyingi za kutrack simu ikiwemo sms na call mfano celebrus.
Ugumu wa kutrack simu kwa kutumia app ni kwamba inabidi uwe na physical interaction na simu hata kwa mara moja ili uinstall hiyo app kwenye simu ya muhusika.
Hii application ya mobile tracker ndio nzuri kwa hilo lengo unalolitaka lakini inahitaji muhusika afungue data.