Kingkongshoulder
Member
- Jun 25, 2021
- 44
- 27
Wadau, poleni na majukumu nilikuwa naomba mwenye uelewa wa kuunganisha smart tv na simu yaani kufanya mirror cast siku yangu ni Samsung A12, na tv ni hisense A4 series smart tv.
Karibuni
Karibuni
Wadau,poleni na majukumu nilikuwa naomba mwenye uelewa wa kuunganisha smart tv na simu yaani kufanya mirror cast siku yangu ni Samsung A12, na tv ni hisense A4 series smart tv,karibuni
TV na simu zote unatakiwa kuunganisha na kifaa kingine kinachotoa internet kama min wifi ya voda au simu yako nyingine ndio uunganishe simu na TV yako zote zipokee wifi kutoka simu nyingine ndio uunganishe castviewsWadau,poleni na majukumu nilikuwa naomba mwenye uelewa wa kuunganisha smart tv na simu yaani kufanya mirror cast siku yangu ni Samsung A12, na tv ni hisense A4 series smart tv,karibuni
Sawa nimekupata mkuuTV na simu zote unatakiwa kuunganisha na kifaa kingine kinachotoa internet kama min wifi ya voda au simu yako nyingine ndio uunganishe simu na TV yako zote zipokee wifi kutoka simu nyingine ndio uunganishe castviews
A12 haina miracast huwezi.Wadau,poleni na majukumu nilikuwa naomba mwenye uelewa wa kuunganisha smart tv na simu yaani kufanya mirror cast siku yangu ni Samsung A12, na tv ni hisense A4 series smart tv,karibuni
Sawa nimekupataA12 haina miracast huwezi.
Alternative ni kutumia dlna. Am not sure 100% unaseti vipi dlna na hisense ila cheki store niliwahi kuona web video caster hii inaweza kupa hio option.
SSema dlna inataka simu na tv ziwe on samw network.
Nimecheki kwenye hisense hapa.Sawa nimekupata
Aiseee kaka asante sana,nashukuru kwa muda wako aisee,nitaleta mrejeshoNimecheki kwenye hisense hapa.
1. Nenda playstore download web video caster
Web Video Cast | Browser to TV - Apps on Google Play
Cast movies, tv shows and live streams to Chromecast, Roku, DLNA, Fire TV & moreplay.google.com
2. Fungua web video caster juu pale click alama ya tv, kisha bonyeza configure which streaming device to scan for, tick zote
3. Click ok utaona neno smart tv Dlna linatokea click itatokea option kwenye tv ku connect.
4. Kama imeconnect ile alama ya TV kwenye app itakua nyeupe.
5. Nenda Gallery tafuta video unayotaka kucheza then play kisha chagua share kisha web video caster, video yako itaplay kwenye tv.
Wadau, poleni na majukumu nilikuwa naomba mwenye uelewa wa kuunganisha smart tv na simu yaani kufanya mirror cast siku yangu ni Samsung A12, na tv ni hisense A4 series smart tv.
Karibun
Simu gani TV ganiJamani na me naombeni kufahamu jinsi gani ya kuunganisha simu na tv ni samsang flat smart tv ila najaribu kila njia inagoma
Mkuu samahani,nje ya mada kidogo.Nataka kuagiza simu aina ya Samsung galaxy grand prime kutoka Aliexpress.Je,kati ya version hizi hapa chini ni version ipi bora zaidi kwa mitandao ya hapa kwetu Tanzania?Simu gani TV gani
Yenye Fz mkuu, 3, 7 na 20 itakua na Compability na mitandao yote, Band 40 pia tunatumia ila. Sio sana, 7 ni muhimu zaidi 4G halotel.Mkuu samahani,nje ya mada kidogo.Nataka kuagiza simu aina ya Samsung galaxy grand prime kutoka Aliexpress.Je,kati ya version hizi hapa chini ni version ipi bora zaidi kwa mitandao ya hapa kwetu Tanzania?View attachment 2617087
Shukrani mkuuYenye Fz mkuu, 3, 7 na 20 itakua na Compability na mitandao yote, Band 40 pia tunatumia ila. Sio sana, 7 ni muhimu zaidi 4G halotel.
Vp ulifanikiwa kununua mkuu?Shukrani mkuu