thesym
JF-Expert Member
- Aug 15, 2012
- 3,866
- 4,854
Jifunze kufanya call divertingSawa je kama muhusika anatumi simu isiyo ya simatphon

Hii ni kwa information purpose, zipo apps nyingi za kutrack simu ikiwemo sms na call mfano celebrus.
Ugumu wa kutrack simu kwa kutumia app ni kwamba inabidi uwe na physical interaction na simu hata kwa mara moja ili uinstall hiyo app kwenye simu ya muhusika.
Hii application ya mobile tracker ndio nzuri kwa hilo lengo unalolitaka lakini inahitaji muhusika afungue data.
Sawa je muhusika akiwa anatumia simu ndogo inakuaje?Hii ni kwa information purpose, zipo apps nyingi za kutrack simu ikiwemo sms na call mfano celebrus.
Ugumu wa kutrack simu kwa kutumia app ni kwamba inabidi uwe na physical interaction na simu hata kwa mara moja ili uinstall hiyo app kwenye simu ya muhusika.
Hii application ya mobile tracker ndio nzuri kwa hilo lengo unalolitaka lakini inahitaji muhusika afungue data.
Ni sahihi akini ni mke wangu na haki ya kujua na kufuaatilia yote kama majibu ya ukimwi tunashirikishana sembuse hili mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Jinsi ya kupata call na sms za mtuu mwingine anaye tumia simu isiyo ya simatphone samahani mnaweza nisaidia jamani naombeni munisaidie taphathalMsaada upi wa kimawazo ama....
Sor naomba namba yako nikucallJifunze kufanya call diverting
HaiJamani muelekezeni basi..dah!
Nc xanaKuna hii nyingine inaitwa "Ceberus" inaweza fanya hivi vitu lakini ni maalum kutrack ukiibiwa, nayo inalipiwa!. Ukijifunza Rooting ungeenjoy zaidi hizi ishu za Surveillance.
- Weka bundle la kutosha kwenye simu yako.
- Google search "Mobile free tracker apk" idownwload.
- Tambua sehemu ilipokaa hii app kwenye simu yako!.
- Ingia Mobilefreetracker.com then sajili account yako (sign up). Uviweke akilini hiyo Username na Password.
- Google search "Sender/Share it" or any app inayoweza tuma big files kwa muda mfupi zaidi. Bluetooth itakuletea usumbufu.
- Azima simu yake (at least dakika 5 uwe nayo) bila yeye kujua unataka fanya nini hasa! (unaweza mdanganya huna bundle unataka yake uitumie kwa muda!.
- Washa Hotspot kwako then kaiconnect na simu yake (kawashe wifi).
- Itume "sender/share it" kwenye simu yake, then iinstall.
- Ikishakamilisha kuwa installed,rudi kwenye simu yako tuma sasa ile APK ya Mobile Free Tracker kwenda simu ya mkeo.
- Ikiingia iinstall na yenyewe, then follow instruction za kujaza taarifa inazotaka (Sign in/Login). Kumbuka kuwasha wifi ili usitumie MB zake ukawa ugomvi mwingine.
- Ukimaliza jaza taarifa zote, chagua unataka itume taarifa gani kwenye ile Email uliyokuwa umeitengeneza (simu ikiwa rooted inaweza tuma hadi whatsapp, FB sms).
- Go back na automatic app itajiondoa mbele ya menu ya hiyo simu so hatajua kama kuna app imefungwa kwenye simu.
- Kazi yako ni kumjazia MB kwenye simu yake ili data zinazokuwa zinakusanywa ziweze kwenda kwenye Email uliyoiweka.Usipomjazia atalalamika simu yake inakula sana vifurushi akijiunga na akikutana na mjanja ataenda muangalizia nini kinachokula zaidi!.
- Hii ni trial ya mwezi (30 days) baada ya hapo itakubidi ulipie!. Cheki kiwngo unachotakiwa lipa ni kidogo tu!.
R.i.P in Advance!.
ukimaanisha!?..Nc xana
Kuna hii nyingine inaitwa "Ceberus" inaweza fanya hivi vitu lakini ni maalum kutrack ukiibiwa, nayo inalipiwa!. Ukijifunza Rooting ungeenjoy zaidi hizi ishu za Surveillance.
- Weka bundle la kutosha kwenye simu yako.
- Google search "Mobile free tracker apk" idownwload.
- Tambua sehemu ilipokaa hii app kwenye simu yako!.
- Ingia Mobilefreetracker.com then sajili account yako (sign up). Uviweke akilini hiyo Username na Password.
- Google search "Sender/Share it" or any app inayoweza tuma big files kwa muda mfupi zaidi. Bluetooth itakuletea usumbufu.
- Azima simu yake (at least dakika 5 uwe nayo) bila yeye kujua unataka fanya nini hasa! (unaweza mdanganya huna bundle unataka yake uitumie kwa muda!.
- Washa Hotspot kwako then kaiconnect na simu yake (kawashe wifi).
- Itume "sender/share it" kwenye simu yake, then iinstall.
- Ikishakamilisha kuwa installed,rudi kwenye simu yako tuma sasa ile APK ya Mobile Free Tracker kwenda simu ya mkeo kupitia Sender/Share it.
- Ikiingia iinstall na yenyewe, then follow instruction za kujaza taarifa inazotaka (Sign in/Login). Kumbuka kuwasha wifi ili usitumie MB zake ukawa ugomvi mwingine.
- Ukimaliza jaza taarifa zote, chagua unataka itume taarifa gani kwenye ile Email uliyokuwa umeitengeneza (simu ikiwa rooted inaweza tuma hadi whatsapp, FB sms).
- Go back na automatic app itajiondoa mbele ya menu ya hiyo simu so hatajua kama kuna app imefungwa kwenye simu.
- Kazi yako ni kumjazia MB kwenye simu yake ili data zinazokuwa zinakusanywa ziweze kwenda kwenye Email uliyoiweka.Usipomjazia atalalamika simu yake inakula sana vifurushi akijiunga na akikutana na mjanja ataenda muangalizia nini kinachokula zaidi!.
- Hii ni trial ya mwezi (30 days) baada ya hapo itakubidi ulipie!. Cheki kiwngo unachotakiwa lipa ni kidogo tu!.
R.i.P in Advance!.
ukimaanisha!?..
Nimefunga kwenye simu yangu!. 🙂Eeenh
Alikuwa anawahi wapi sasa!?...🙂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nice sana itakuwa
Alikuwa anawahi wapi sasa!?...🙂
Nimefunga kwenye simu yangu!. 🙂
Cebrus hijaitolea maelezo ya kutosha mkuuKuna hii nyingine inaitwa "Ceberus" inaweza fanya hivi vitu lakini ni maalum kutrack ukiibiwa, nayo inalipiwa!. Ukijifunza Rooting ungeenjoy zaidi hizi ishu za Surveillance.