Namna ya kuunganisha line na simu call

Namna ya kuunganisha line na simu call

Sio alikuwa anawahi wapi ndio miandiko yao hiyo vijana wa siku hizi wazee wa xa xa badala ya sasa k badala ya okay
Wewe ukiandika nitasumbua kichwa kufikiri ulimaanisha nini!.. Sio mtoto wa kiume ananiandikia hivyo!.
 
Unajua fanya Rooting kwanza!?. Nilitoa angalizo ili kuenjoy inabidi ujue fanya rooting bila hivyo ceberus haitoijua kazi yake/ufanisi wake!.
Anzia hapo kwny rooting
 
Hii nimejifungia mwenyewe ili nikiibiwa niipate tecno yangu!😀.
Sitaki kufa mapema mie!..
Hapo sawa baby daddy usifanye hivyo utakufwa uku uwachie wenzio
 
Anzia hapo kwny rooting
Mkuu Rooting ni mada pana hiyo, pitia kwanza humu jukwaa la sayansi ifatirie.
Ukikosea unaweza kuharibu simu yako!. Au ukiweza kuwa muangalifu unaweza futa mpaka calcurator ya simu.
 
wengi wanasema haiwezekani ila mie naweza kukusogeza karibu na adhima yako kama ifuatavyo download application inaitwa wondershare dr phone unaweka kwenye laptop then chukua simu ya muhusika weka kwenye laptop via USB una recover meseji zote alizofuta pamoja na calls zote alizopiga na kupigiwa hadi chatt za whatsapp zinarudi kumbuka hii application ni ya kulipia ila kuna trial period ya siku 14 hope utakuwa umefanikiwa kupata unachokitaka kwa muda huo.

Note hii inafay=nya kwenye simu za android pia ina root simu so kuwa makini unaweza haribu warranty ya simu kwa wivu wako ila kama udukuzi una faida kuliko hasara all the best muda wa kufanya yote hayo haizidi dak 15 akienda bafuni na kurudi ushamaliza.
 
Hey jf naombeni msaada wenu wandugu kama kuna mtaalam wa IT anielekeze namna gani ya kuhack mawasiliano kwa maana akipigiwa mtu simu mfano wife na mtu mwngine basi namm nipate kujua kwa kuisikia ikiita na wakiongoea
Akipigiwa tu na mm simu yangu iwe inaita na akipokea na mm nisikie mazungumzo yao plz niko kwny upelelezi mkubwa msaada tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom