Namna ya kuunganisha line na simu call

Namna ya kuunganisha line na simu call

Asante sana mkuu hakika kwenye wengi kuna mengi ni muhimu sana kumlinda mke na familia kwa ujumla kwa sababu tayari nishatoka nyumbani na nimepewa jukum la kuwa na familia sasa ndo ninayo familia watanicheka sana walimwengu nikiipoteza familia niliyoijenga takriban miaka 10 sasa kusa shetani niiharibu familia yangu amini ninasema nitamchunguza na kumlinda na wanyanganyi kwa hali yangu yote mwisho niseme asante sana hili nilikuwa nalisubiri sana sema nilikuwa sina uhakika katika mia hata mmoja akiwa by my side nafikiri niko right broo thanx sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu uko sahihi sana, uko sawa sana tu. Mimi mwenyewe hapa nina zaidi ta miaka 13 kwenye ndoa. Nilichojifunza ni kuwa wanawake ni viumbe dhaifu mno yaani mno. Ukiwaacha wajiendeage kama mimbuzi ndani ya muda mfupi unajikuta huna ndoa wala huna familia. Ukitaka familia iende mbele mtangulize mke na watoto mbele wewe fuatilia hatua zao kwa nyuma huku ukiwa sahihisha na kuwaboresha wanapokosea. Ndg tuko pa1 sana kwa hili.
 
Write your reply...km una roho fupi usimfuatilie mwanamke atakuuwa kimsongo wa mawazo
 
Mkuu uko sahihi sana, uko sawa sana tu. Mimi mwenyewe hapa nina zaidi ta miaka 13 kwenye ndoa. Nilichojifunza ni kuwa wanawake ni viumbe dhaifu mno yaani mno. Ukiwaacha wajiendeage kama mimbuzi ndani ya muda mfupi unajikuta huna ndoa wala huna familia. Ukitaka familia iende mbele mtangulize mke na watoto mbele wewe fuatilia hatua zao kwa nyuma huku ukiwa sahihisha na kuwaboresha wanapokosea. Ndg tuko pa1 sana kwa hili.
Hakika hawa nikuwalinda kama mbuzi ama kondoo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unataka kumfuatilia mtu ambaye mmekutana tayali mkiwa watu wazima. Halafu unafahamu ana namba ngapi ambazo huzijui. Tafuta pesa mkuu, achana na kufuatilia mwanamke.
Point sana hii....
 
Tangu huu uzi unaanza naufatilia tu naona watu wanatishia tu "mi naweza mi naweza" TUELEKEZENI BASI maana tupo wengi tunaohitaji iyo kitu sema atusemi tu.
 
Hey jf naombeni msaada wenu wandugu kama kuna mtaalam wa IT anielekeze namna gani ya kuhack mawasiliano kwa maana akipigiwa mtu simu mfano wife na mtu mwngine basi namm nipate kujua kwa kuisikia ikiita na wakiongoea
Akipigiwa tu na mm simu yangu iwe inaita na akipokea na mm nisikie mazungumzo yao plz niko kwny upelelezi mkubwa msaada tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
Unatafuta balaa kubwa mkuu,umeichoka ndoa yako sasa unatafuta sababu ya kumtaliki mkeo ?.umechoka na afya njema uliyonayo sasa unataka kupatwa na magonjwa kama ya presha na kisukari pamoja na msongo wa mawazo ?.
Acha hizo fikra mkuu,acha kabisa,muache na simu yake apokee mwenyewe call zake na wewe baki na simu yako na pokea wewe mwenyewe simu zako.
Ni ushauri tu lakini sikulazimishi
 
Kila ntu na njia yake kutegemeana na nke unaye ishi naye. Mm wa kwangu natumia njia ya kienyeji na ni muda mrefu sasa namfuatilia bila yeye kujijua. nimenunua memorycard kubwa na kuipachika ndani ya cm yake. Harafu nmeiweka auto call recorder na kupiga lock hilo file na mfumo wote wa setings kwenye simu yake. Hapa inahitaji uwe mtu wa kukaa kimya usiwe mtu wa kukurupuka na kuropoka ropoka. Jenga mazoea ya kumwachia cm yako awe na uhuru nayo na tumia sim yake bila kumuudhi. Nke ni kiumbe dhaifu tumeaswa kuishi nao kwa hakili. Msitushangae mazee.
Sasa unafanya hayo yote baadae iweje ?
bila ya shaka wewe bado u mtoto na hiyo ndoa yako nadhani haina muda mrefu tangu uoe.
Samahani mkuu kama nitakuwa nimekuudhi.
 
Wasikutishe.

Kama unataka kujua, we fuatilia tu.
Hata kama itauma ila utakuwa umejifunza na kufuta hizi fantasies za kimapenzi.
Utamuelewa na utakuwa free. Utaacha ku-invest katika hisia.

Maisha ni yako mkuu. Personally i think ni bora ujue moja ili uweze kutumia muda wako vizuri.
Maisha mafupi.
 
Kwa mtiririko wa uzi huu ni dhahiri kwamba watu wamechoshwa na tabia za wanawake

Utakuta wewe umejidhatiti na humsaliti akini unakuta mwanamke anafanya mambo ya ajabu

Kama ndo kaja kubalehee kwenye ndoa

Changamoto ni pale unapotaka kumfuatilia hususan kuhack mawasiliano yake itakupa matatizo ya milele utapata magonjwa kama hypertension yaaan pressure ama kisukari

Pia utaishi kwa maisha ya wasiwasi sana
Kumbuka yule mtu hatapigiwa tu na wazazi wake bali na watu tofauti totauti miongoni mwao wanamtongoza sasa pindi ukiona ivoo

Moja kwa moja ww utamuwazia mabaya kuwa anachit kumbe hata uy bado hajakubali

Ila una kuta umeshafikia mbali mpka kwenye maamuzi ya kutaka kuachana
Hii n hatari sana tena kwa mwanaume maana tunawaza mengi

Ila penzi ambapo ni sehem ya kutuliza maumivu ikachachuka

Hakika utapata tabu sana
 
Back
Top Bottom