Mkuu Mandela 1 usiwasikilize wanaokupinga kwa hili wazo lako la kumdukua your wife. Mwanaume ni mhimili mkuu wa familia yake. Mm kivyangu nauamini mno mfumo dume na naamini mpinzani wa mfumo dume ni shetani na wafuasi wake. Usishangae wanaokupinga wengi ni wanawake waovu au ambao hawamo ndani ya ndoa. Mm najitahidi mno kuipa familia yangu haki ya viwango vya lami. Ikiwepo na ulinzi na usalama kwa viwango vilivyo ndani ya uwezo wangu. Hata serikali hutudukua na kutufuatilia ikiwa ni katika kutupa ulinzi na usalama wa mmoja mmoja na taifa zima kwa ujumla. Mm humwambia wife namna nilivyo mwaminifu kwake na kumhiza awe mtulivu na mwaminifu. Na siishii hapo tu, na sio kwamba namfuatilia kwa ajili ya uzinzi tu. Humfwatilia asije kutapeliwa, kuingizwa imani mbovu na mambo mengine mengine ambayo hayafai. Wanawake ni viumbe dhaifu tuishi nao kwa akili.