Mallerina
JF-Expert Member
- Jan 19, 2023
- 4,136
- 10,686
We tufaidike woteHayo tutaongea mimi na wewe tu
We tufaidike woteHayo tutaongea mimi na wewe tu
hahahahaha, ushakuambiwa yaani kwa hii ndio unanitaka? mie nilijua msaada ?Unamtumia ujumbe mzuri wa namna hii, ''Kodi yako ya nyumba inaisha lini?, baadaye baadaye uje uchukue basi hela ya matumizi.''
Hapo baharia utaitwa majina yote, sijui asali, sukari, mume, moyo, dia n.k
Akifika tu, anakuachia uwanja ucheze wewe mwenyewe unavyoweza.
Kazi kwenu, mabaharia.
Wanaopata utamu si wawili tu?We tufaidike wote
Akishaingia ndani ni kufunga milango na mengine kuendeleahahahahaha, ushakuambiwa yaani kwa hii ndio unanitaka? mie nilijua msaada ?
ila hii gia nayo kali sana
Njoo uchukue ya matumiziAhahaha uwiiih
mmmh ,hahahaha, umetishaAkishaingia ndani ni kufunga milango na mengine kuendelea
Hapa umekidhalilisha chamaSa hapo ndo umetongoza 🤔
Unazidiwa hata na Lucas mwashambwa
Khee! Mara hii tu🙆🏽♀️Saivi waza kujenga kulipa Kodi achia ID mpya.
Sema tu sijui sana maandiko ningekuachia hata Mhubiri 3:1.Khee! Mara hii tu🙆🏽♀️
Basi mimi wakati wangu bado, acha waje wataniacha mpaka ufike😁Sema tu sijui sana maandiko ningekuachia hata Mhubiri 3:1.
Ngoja mamotiveshno spika wakufundishe maana ya procrastination.Basi mimi wakati wangu bado, acha waje wataniacha mpaka ufike😁
Hata siwataki wakae hukohuko mbali nami😁Ngoja mamotiveshno spika wakufundishe maana ya procrastination.
😂😂😂😂Hahahhh use and dis use theory hapa kitendea kazi MUNGU alikidesign ipasavyo mkuu kanasinyaa na kutanuka wakati wa shuhuri
Groly to GOD!
😂😂😂Mwalimu maisha yako magumu sana.
Nyege nyingi hela huna hapo umejaa vumbi la chaki kama kiwanda cha Gypsum ila bado unaota ndoto za kuvua watu chupi.