Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,214
- 64,307
Unamtumia ujumbe mzuri wa namna hii, ''Kodi yako ya nyumba inaisha lini?, baadaye baadaye uje uchukue basi hela ya matumizi.''
Hapo baharia utaitwa majina yote, sijui asali, sukari, mume, moyo, dia n.k
Akifika tu, anakuachia uwanja ucheze wewe mwenyewe unavyoweza.
Kazi kwenu, mabaharia.
Hapo baharia utaitwa majina yote, sijui asali, sukari, mume, moyo, dia n.k
Akifika tu, anakuachia uwanja ucheze wewe mwenyewe unavyoweza.
Kazi kwenu, mabaharia.