Ameelemewa na mzigoKumbe huwa mnatongozana jf dahh ngoja nianze na mm kutongoza
View attachment 3690098
Umetisha.tuone screenshots kama huo mchongo wako umetiki sehemu
Shauri yako, kitendea kazi usipokitumia kinapoteaPigo za walevi hizo, hazina mantiki..
Ngoja nijaribu;Unamtumia ujumbe mzuri wa namna hii, ''Kodi yako ya nyumba inaisha lini?, baadaye baadaye uje uchukue basi hela ya matumizi.''
Hapo baharia utaitwa majina yote, sijui asali, sukari, mume, moyo, dia n.k
Akifika tu, anakuachia uwanja ucheze wewe mwenyewe unavyoweza.
Kazi kwenu, mabaharia.
Ni noma sana.Ambao hawana gharama wamechoka
Njoo uchukue kibunda😹😹😹tuone screenshots kama huo mchongo wako umetiki sehemu
Hahahhh use and dis use theory hapa kitendea kazi MUNGU alikidesign ipasavyo mkuu kanasinyaa na kutanuka wakati wa shuhuriShauri yako, kitendea kazi usipokitumia kinapotea
Vitu vyako au siyo!Mi nitumie tu kwenye acc yangu😁
1. Wanawake wa JF wote wameolewaUnamtumia ujumbe mzuri wa namna hii, ''Kodi yako ya nyumba inaisha lini?, baadaye baadaye uje uchukue basi hela ya matumizi.''
Hapo baharia utaitwa majina yote, sijui asali, sukari, mume, moyo, dia n.k
Akifika tu, anakuachia uwanja ucheze wewe mwenyewe unavyoweza.
Kazi kwenu, mabaharia.
Si ndio😝Vitu vyako au siyo!
We tuwekeee evidence 😹kama huna uzi mods wafuteNjoo uchukue kibunda
Akikubali nitumie notes kuna mrembo nataka nibeti nimechoka kufanya imagination.Ngoja niijaribu hii mbinu kwa BICHWA KOMWE -
Nitaleta mrejesho.
Saivi waza kujenga kulipa Kodi achia ID mpya.Si ndio😝
Hayo tutaongea mimi na wewe tuWe tuwekeee evidence 😹kama huna uzi mods wafute