Namna ya kukabiliana na magaidi ni kutumia mbinu wanazotumia magaidi

Kumbukumbu 19:21 NMM​

Msionyeshe huruma, uhai kwa uhai, jicho kwa jicho, jino kwa jino, mkono kwa mkono, mguu kwa mguu.

Kutoka 21:
24 jicho kwa jicho, jino kwa jino, mkono kwa mkono, mguu kwa mguu,
25kuchomwa moto kwa kuchomwa moto, jeraha kwa jeraha, na pigo kwa pigo.

Hii si inakiuka maandiko

SWALI: Bwana alikuwa na maana gani kusema mtu akupigaye shavu la kuume, mgeuzie na la pili?(Mathayo 5:39)

JIBU: Bwana Yesu aliposema mtu akupigaye shavu la kuume, mgeuzie na la pili na sawasawa na pale aliposema pia “mtu atakaye kukushitaki na kuitwaa kanzu yako, mwachie na joho pia.”

Kama tunavyofahamu ukiwa kama mkristo ni lazima ukutane na vikwazo vingi kutoka kwa wasioamini, Hii ikiwa na maana kuwa kwa kufanya hivyo utakuwa umeushinda uovu na utafanikiwa kuiokoa roho ya mtu huyo badala ya kuingamiza. kwasababu kwa kufanya vile Biblia inasema utakuwa umempalia makaa ya moto kichwani pake,atakuwa akijiuliza kila siku ni kwanini sikutendewa kama mimi nilivyomtendea yeye?. hivyo baadaye atajiona yeye ndiye mwenye makosa na kugeuka na kutubu kwasababu yale makaa ya moto yatakuwa yanachoma ndani yake. Biblia inasema katika..

Mithali 25: 21 “Adui yako akiwa ana njaa, mpe chakula; Tena akiwa ana kiu, mpe maji ya kunywa;
22 Maana utatia makaa ya moto kichwani pake; Na Bwana atakupa thawabu”.
Lakini sasa mfano atakapokupiga na wewe ukamrudishia, au atakapochukua mali yako nawe ukaenda kuchukua ya kwake, atakapokuabisha na wewe ukamwaibisha, atachomwaje dhamira na kujiona kama yeye ni mwenye dhambi?, hivyo atabakia kuwa vilevile tu na kukuona wewe ni mtu wa kawaida tu kama watu wengine walivyo. Na ndio maana Bwana Yesu alisema tuushinde ubaya kwa wema, ili tuwe wakamilifu kama Baba yetu alivyo mkamilifu. Aliendelea kusema..

Mathayo 5:41 “Na mtu atakayekulazimisha mwendo wa maili moja, nenda naye mbili.
42 Akuombaye, mpe; naye atakaye kukopa kwako, usimpe kisogo.
43 Mmesikia kwamba imenenwa, Umpende jirani yako, na, Umchukie adui yako;
44 lakini mimi nawaambia, Wapendeni adui zenu, waombeeni wanaowaudhi,
45 ili mpate kuwa wana wa Baba yenu aliye mbinguni; maana yeye huwaangazia jua lake waovu na wema, huwanyeshea mvua wenye haki na wasio haki.
46 Maana mkiwapenda wanaowapenda ninyi mwapata thawabu gani? Hata watoza ushuru, je! Nao hawafanyi yayo hayo?
47 Tena mkiwaamkia ndugu zenu tu, mnatenda tendo gani la ziada? Hata watu wa mataifa, je! Nao hawafanyi kama hayo?
48 Basi ninyi mtakuwa wakamilifu, kama Baba yenu wa mbinguni alivyo mkamilifu”
 
Wew choko niny unawashwa sana ety eeh tafuta LGBTQ 🌈 wenzio wakupakue mavi.
Umeshindwa kujificha umeamua kujitangaza upate wateja haya endelea kutafuta wanaume kwa nguvu maana choo chako inaonekana kichafu unatafuta wanaume wa kukisafisha.

Sawa endelea kutafuta tafuta humu type yako unayotaka utapata.
 
Wew ni shoga hata jina lako lina akisi hivyo upo special kwa kupakuliwa mavi, nenda katafute agent wenzako wa LGBTQ 🌈.
 
Bado hujapata tu ?
Ulikua unawashwa niny kuniquote huku ukijua unauwezo mdogo kuhusu masuala ya mashariki ya kati nabado wew ni bichwa panzi kabisa.

Wew ndio wale unakuta bichwa kubwa akili kijiko nenda kawapelekee tigo member wenzio wa LGBTQ 🌈
 
Ulikua unawashwa niny kuniquote huku ukijua unauwezo mdogo kuhusu masuala ya mashariki ya kati nabado wew ni bichwa panzi kabisa.

Wew ndio wale unakuta bichwa kubwa akili kijiko nenda kawapelekee tigo member wenzio wa LGBTQ 🌈
Bado hujapata tu ?
 
Hii si inakiuka maandiko

SWALI: Bwana alikuwa na maana gani kusema mtu akupigaye shavu la kuume, mgeuzie na la pili?(Mathayo 5:39)

JIBU: Bwana Yesu aliposema mtu akupigaye shavu la kuume, mgeuzie na la pili na sawasawa na pale aliposema pia “mtu atakaye kukushitaki na kuitwaa kanzu yako, mwachie na joho pia.”

Kama tunavyofahamu ukiwa kama mkristo ni lazima ukutane na vikwazo vingi kutoka kwa wasioamini, Hii ikiwa na maana kuwa kwa kufanya hivyo utakuwa umeushinda uovu na utafanikiwa kuiokoa roho ya mtu huyo badala ya kuingamiza. kwasababu kwa kufanya vile Biblia inasema utakuwa umempalia makaa ya moto kichwani pake,atakuwa akijiuliza kila siku ni kwanini sikutendewa kama mimi nilivyomtendea yeye?. hivyo baadaye atajiona yeye ndiye mwenye makosa na kugeuka na kutubu kwasababu yale makaa ya moto yatakuwa yanachoma ndani yake. Biblia inasema katika..

Lakini sasa mfano atakapokupiga na wewe ukamrudishia, au atakapochukua mali yako nawe ukaenda kuchukua ya kwake, atakapokuabisha na wewe ukamwaibisha, atachomwaje dhamira na kujiona kama yeye ni mwenye dhambi?, hivyo atabakia kuwa vilevile tu na kukuona wewe ni mtu wa kawaida tu kama watu wengine walivyo. Na ndio maana Bwana Yesu alisema tuushinde ubaya kwa wema, ili tuwe wakamilifu kama Baba yetu alivyo mkamilifu. Aliendelea kusema..

Unaelewa maana ya Torati?
Hicho kifungu ulichotoa ni aya ya Injili. Unaelewa maana ya Injili.
Yesu hatumiki kama reference yoyote katika uwanja wa vita. Hajawahi kupigana popôte pale.
Yesu hatumiki kama reference yoyote ya mahusiano na ndoa.

Musa ni mtawala, mpiganaji, na ashapigana vita vingi.
 
Uzi wako mwingine bora, chukua like.

Hamas waliua raia, walidhamiria na hawajutii; dawa yao nao ni kuuliwa wao na wapendwa wao.

Waisraeli waliokufa ni zaidi 1,400 hivyo Israeli kwa hesabu ya 1,400 x 10 basi waizraeli wanatakiwa kuwapoteza Hamas na wapendwa wao si chini ya 14,000.
Haya mambo yasikie Tu kwenye nchi zingine
 
Unaelewa maana ya Torati?
Hicho kifungu ulichotoa ni aya ya Injili. Unaelewa maana ya Injili.
Yesu hatumiki kama reference yoyote katika uwanja wa vita. Hajawahi kupigana popôte pale.
Yesu hatumiki kama reference yoyote ya mahusiano na ndoa.

Musa ni mtawala, mpiganaji, na ashapigana vita vingi.
Nafuata mafundisho
 
"Umesema namna ya kukabiliana na magaidi ni kutumia mbinu wanazo tumia magaidi"

Nakuuliza tena.

China ilipambana vipi na terrorism Xinjiang ?
 
Kwa hiyo pale unatumika uyahudi kupambana ?

Vipi kwa kundi la Waisrael:-
  • Waislam
  • Wakristo na
  • Wasio na dini

Lile ni taifa la kiyahudi. Mbinu wanazotumia ni mbinu za kiyahudi kudili na adui zao. Hao adui wanaweza kuwa na dini au wasiwe na dini
 
Back
Top Bottom