Hamas tumieni mbinu hii kumshinda Israel

Mhaya

JF-Expert Member
Aug 20, 2023
1,658
4,866
Kitu pekee kinachofanya Makundi ya Palestina yaonekana ya Kigaidi hususani kwenye umoja wa mataifa na nchi za magharibi ni namna yanavyofanya mashambulio.

Kundi la Hamas lilipaswa kupiga kambi za jeshi na maneno yenye dhana za kijeshi ili kujiwekea uhalali wa kufanya mashambulizi. Kitendo cha Hamas kupiga risasi raia na kuwaua, na wengine kuteka nyara na mashambulizi mengine ya moja kwa moja kwa raia ni kosa la kigaidi, hivyo na kupelekea kundi hili kupewa jina la kigaidi.

Hotuba ya waziri mkuu wa uingereza amesema hawa jamaa sio freedom fighters au wapigania haki bali ni terrorists kutokana na matukio ya kushambulia raia. Nchi ya Marekani nayo imesema Hamas ni magaidi kutokana na namna wanavyoua raia.

Israel yeye katumia Akili sana hili asiitwe gaidi na maadui zake, badala yake wengi wanampongeza kwa kujitetea. Mfano, kabla hajafanya mashambulizi makubwa huko Gaza, aliwaonya na kutoa taarifa kwa raia yeyote aliyeko Gaza kuama eneo hilo, yani hakutaka kufanya mashambulizi ya moja kwa moja kwa Raia, jambo ambalo wengi wanaona ni la kiungwana kwa sababu vita ya Israel anapigana na Hamas na si raia wa palestina. Tofauti na kundi la Hamas ambalo lenyewe linalenga moja kwa moja raia.

Popote pale Duniani uwezi kupata support ya 100% kama unapiga raia moja kwa moja, ndio maana hata nchi za uarabuni zinashindwa kuingilia vita kwa sababu za Hamas kupiga moja kwa moja raia ambayo ni kinyume na sheria za Dunia.

USHAURI: Hamas kuishinda Israel mnapaswa kutumia Akili na si kupiga piga hovyo na kuwateka raia, mkifanya hivyo mtafanya mataifa mengine yazidi kuiunga mkono Israel na mwisho wa siku Israel itazidi kuwa na nguvu zaidi na ushawishi. Ikumbukwe nchi ya Israel inaruhusu uraia pacha, hivyo raia wa Israel wengi mnaowaua na kuwateka pia ni raia wa nchi nyingine, hivyo mtakuwa mnazipa morali nchi nyingine nazo kuiunga mkono Israel. Mfano raia wa Tanzania wawili hawajulikani walipo, hiyo ni go ahead moja kwa moja ya Tanzania kuiunga mkono Israel kwa sababu Hamas wameteka au kuua watanzania, japo Bongo nyoso haiwezi kutoa kauli. Hivyo hivyo nchi nyingine nazo mkiua raia wake. Israel hapa alijitoa kwenye kuua raia, yeye hasa hasa anatungua magorofa matupu yani safisha mji na kambi za Hamas tu, jambo linalompa mashiko.
 
Watanzania hao wawili hawajulikani walipo, je ikiwa ni miongoni mwa wale raia waliotekwa na hamas kisha kutishia kuwachinja kwa kila shambulio watakaloshambuliwa na israel. Kama hamas wataua watu wetu, kwani sisi tumewakosea nini? Balozi wa palestina yupo aambiwe awaambie hamas wawaachie raia wetu, sisi hatuna ugomvi nao
 
Hapo ndipo Hamas walipokosea...

Wakiendelea kuteka na kuua raia wa nchi nyingine pia, watapelekea palestina kupigwa vibaya mno, kila nchi yenye raia waliotekwa ataiunga mkono Israel.

Hapo Hamas wapigane vita kwa Akili, kama Israel wanavyokwepa kuua raia.
 
Nawaza tu, hivi hatuna makomando wetu wa kwenda gaza kuokoa raia wetu kama wako mateka mikononi mwa hamas kama ile operation entebe? Au hiyo kazi itafanywa na makomando wa kiisrael kuokoa mateka hao? Kama vipi israel ishirikishe makomando wetu kwenye opesheni ya kuokoa mateka hao.
 
Kitu pekee kinachofanya Makundi ya Palestina yaonekana ya Kigaidi hususani kwenye umoja wa mataifa na nchi za magharibi ni namna yanavyofanya mashambulio.

Kundi la Hamas lilipaswa kupiga kambi za jeshi na maneno yenye dhana za kijeshi ili kujiwekea uhalali wa kufanya mashambulizi. Kitendo cha Hamas kupiga risasi raia na kuwaua, na wengine kuteka nyara na mashambulizi mengine ya moja kwa moja kwa raia ni kosa la kigaidi, hivyo na kupelekea kundi hili kupewa jina la kigaidi.

Hotuba ya waziri mkuu wa uingereza amesema hawa jamaa sio freedom fighters au wapigania haki bali ni terrorists kutokana na matukio ya kushambulia raia. Nchi ya Marekani nayo imesema Hamas ni magaidi kutokana na namna wanavyoua raia.

Israel yeye katumia Akili sana hili asiitwe gaidi na maadui zake, badala yake wengi wanampongeza kwa kujitetea. Mfano, kabla hajafanya mashambulizi makubwa huko Gaza, aliwaonya na kutoa taarifa kwa raia yeyote aliyeko Gaza kuama eneo hilo, yani hakutaka kufanya mashambulizi ya moja kwa moja kwa Raia, jambo ambalo wengi wanaona ni la kiungwana kwa sababu vita ya Israel anapigana na Hamas na si raia wa palestina. Tofauti na kundi la Hamas ambalo lenyewe linalenga moja kwa moja raia.

Popote pale Duniani uwezi kupata support ya 100% kama unapiga raia moja kwa moja, ndio maana hata nchi za uarabuni zinashindwa kuingilia vita kwa sababu za Hamas kupiga moja kwa moja raia ambayo ni kinyume na sheria za Dunia.

USHAURI: Hamas kuishinda Israel mnapaswa kutumia Akili na si kupiga piga hovyo na kuwateka raia, mkifanya hivyo mtafanya mataifa mengine yazidi kuiunga mkono Israel na mwisho wa siku Israel itazidi kuwa na nguvu zaidi na ushawishi. Ikumbukwe nchi ya Israel inaruhusu uraia pacha, hivyo raia wa Israel wengi mnaowaua na kuwateka pia ni raia wa nchi nyingine, hivyo mtakuwa mnazipa morali nchi nyingine nazo kuiunga mkono Israel. Mfano raia wa Tanzania wawili hawajulikani walipo, hiyo ni go ahead moja kwa moja ya Tanzania kuiunga mkono Israel kwa sababu Hamas wameteka au kuua watanzania, japo Bongo nyoso haiwezi kutoa kauli. Hivyo hivyo nchi nyingine nazo mkiua raia wake. Israel hapa alijitoa kwenye kuua raia, yeye hasa hasa anatungua magorofa matupu yani safisha mji na kambi za Hamas tu, jambo linalompa mashiko.
@HAMAS kuna ujumbe wako huku, acha kupiga raia...mshambulie benjamin Nyau.

Unamaoni yoyote kuhusu vita huko DRC, au ngozi nyeusi wakiuana ni sawa tu..?
 
Israel yeye katumia Akili sana hili asiitwe gaidi na maadui zake, badala yake wengi wanampongeza kwa kujitetea. Mfano, kabla hajafanya mashambulizi makubwa huko Gaza, aliwaonya na kutoa taarifa kwa raia yeyote aliyeko Gaza kuama eneo hilo, ya
Hizo ng'ombe za kizayuni ni magaidi pia ,wameshambulia hospital yote bila kujali Kuna wagonjwa.USA ni mnafiki pamoja na usharika wake.. Chuki ya USA ni dhidi ya uislamu tu hana jipya maana walishasema hawapigani na ugaidi ila wanapigana dhidi ya uislamu.
 
Nawaza tu, hivi hatuna makomando wetu wa kwenda gaza kuokoa raia wetu kama wako mateka mikononi mwa hamas kama ile operation entebe? Au hiyo kazi itafanywa na makomando wa kiisrael kuokoa mateka hao? Kama vipi israel ishirikishe makomando wetu kwenye opesheni ya kuokoa mateka hao.
Hawa wajeda wetu ni wa kutunyanganya gwanda zao, na kututishia mitaani na buti zao... Hawa vita hawawezi.
 
Kitu pekee kinachofanya Makundi ya Palestina yaonekana ya Kigaidi hususani kwenye umoja wa mataifa na nchi za magharibi ni namna yanavyofanya mashambulio.

Kundi la Hamas lilipaswa kupiga kambi za jeshi na maneno yenye dhana za kijeshi ili kujiwekea uhalali wa kufanya mashambulizi. Kitendo cha Hamas kupiga risasi raia na kuwaua, na wengine kuteka nyara na mashambulizi mengine ya moja kwa moja kwa raia ni kosa la kigaidi, hivyo na kupelekea kundi hili kupewa jina la kigaidi.

Hotuba ya waziri mkuu wa uingereza amesema hawa jamaa sio freedom fighters au wapigania haki bali ni terrorists kutokana na matukio ya kushambulia raia. Nchi ya Marekani nayo imesema Hamas ni magaidi kutokana na namna wanavyoua raia.

Israel yeye katumia Akili sana hili asiitwe gaidi na maadui zake, badala yake wengi wanampongeza kwa kujitetea. Mfano, kabla hajafanya mashambulizi makubwa huko Gaza, aliwaonya na kutoa taarifa kwa raia yeyote aliyeko Gaza kuama eneo hilo, yani hakutaka kufanya mashambulizi ya moja kwa moja kwa Raia, jambo ambalo wengi wanaona ni la kiungwana kwa sababu vita ya Israel anapigana na Hamas na si raia wa palestina. Tofauti na kundi la Hamas ambalo lenyewe linalenga moja kwa moja raia.

Popote pale Duniani uwezi kupata support ya 100% kama unapiga raia moja kwa moja, ndio maana hata nchi za uarabuni zinashindwa kuingilia vita kwa sababu za Hamas kupiga moja kwa moja raia ambayo ni kinyume na sheria za Dunia.

USHAURI: Hamas kuishinda Israel mnapaswa kutumia Akili na si kupiga piga hovyo na kuwateka raia, mkifanya hivyo mtafanya mataifa mengine yazidi kuiunga mkono Israel na mwisho wa siku Israel itazidi kuwa na nguvu zaidi na ushawishi. Ikumbukwe nchi ya Israel inaruhusu uraia pacha, hivyo raia wa Israel wengi mnaowaua na kuwateka pia ni raia wa nchi nyingine, hivyo mtakuwa mnazipa morali nchi nyingine nazo kuiunga mkono Israel. Mfano raia wa Tanzania wawili hawajulikani walipo, hiyo ni go ahead moja kwa moja ya Tanzania kuiunga mkono Israel kwa sababu Hamas wameteka au kuua watanzania, japo Bongo nyoso haiwezi kutoa kauli. Hivyo hivyo nchi nyingine nazo mkiua raia wake. Israel hapa alijitoa kwenye kuua raia, yeye hasa hasa anatungua magorofa matupu yani safisha mji na kambi za Hamas tu, jambo linalompa mashiko.
Hujasema lolote la maana na huna akili ya kuwashauri Hamas.Hapo unajadili kikundi kisicho na silaha dhidi ya taifa lenye silaha za kisasa na kusaidiwa na mataifa makubwa wanaopigana baada ya kuuliwa watu wao kwa malaki .Watu hao hawali na wala kulala vizuri tangu utoto wao.Sifikiri kuwa wana uwezo wa kutofautisha katika ya raia na askari.Na raia hao hao ndio wanaolala kwa raha kwenye ardhi zilizoporwa kwa wazazi wao.
Tanzania nayo kwa miaka yote hiyo haikuwa na ubalozi nchini Israel na haikuwa na ushirikiano nayo katika mipango yake.Kipi kimepelekea kuanzisha uhusiano mzuri na taifa hilo ambalo Tanzania inajua linawakandamiza na kuwaua watu wa Palestina.Katika kipindi hiki tangu Tanzania ifungue ubalozi wake Israel kumetokea unyamna mkubwa sana dhidi ya Palestina na sisi tumefumbia macho moja kwa moja hali hiyo.
 
@HAMAS kuna ujumbe wako huku, acha kupiga raia...mshambulie benjamin Nyau.

Unamaoni yoyote kuhusu vita huko DRC, au ngozi nyeusi wakiuana ni sawa tu..?
Huko DRC ni Mnyarwanda akidaiwa kufadhili vikosi hili kuiba madini. Ila bahati nzuri huko DRC wengi ni wanajeshi kwa wanajeshi ndio wanauana. Na mashambulizi mengi yanaelekezwa kwenye kambi za kijeshi. Utaskia wanajeshi wawili wauwawa na kundi la mgambo nchini DRC, na mara chache wanashambulia raia na makazi yao.

Lakini Hamas wao wameua raia waziwazi, hususani kwenye lile tamasha la mziki wamemimina risasi na kuua raia. Hamas hawashambulii wanajeshi bali wanalenga raia.

As Long as unashambulia raia wasiokuwa na hatia automatically wewe ni Gaidi
 
Kitu pekee kinachofanya Makundi ya Palestina yaonekana ya Kigaidi hususani kwenye umoja wa mataifa na nchi za magharibi ni namna yanavyofanya mashambulio.

Kundi la Hamas lilipaswa kupiga kambi za jeshi na maneno yenye dhana za kijeshi ili kujiwekea uhalali wa kufanya mashambulizi. Kitendo cha Hamas kupiga risasi raia na kuwaua, na wengine kuteka nyara na mashambulizi mengine ya moja kwa moja kwa raia ni kosa la kigaidi, hivyo na kupelekea kundi hili kupewa jina la kigaidi.

Hotuba ya waziri mkuu wa uingereza amesema hawa jamaa sio freedom fighters au wapigania haki bali ni terrorists kutokana na matukio ya kushambulia raia. Nchi ya Marekani nayo imesema Hamas ni magaidi kutokana na namna wanavyoua raia.

Israel yeye katumia Akili sana hili asiitwe gaidi na maadui zake, badala yake wengi wanampongeza kwa kujitetea. Mfano, kabla hajafanya mashambulizi makubwa huko Gaza, aliwaonya na kutoa taarifa kwa raia yeyote aliyeko Gaza kuama eneo hilo, yani hakutaka kufanya mashambulizi ya moja kwa moja kwa Raia, jambo ambalo wengi wanaona ni la kiungwana kwa sababu vita ya Israel anapigana na Hamas na si raia wa palestina. Tofauti na kundi la Hamas ambalo lenyewe linalenga moja kwa moja raia.

Popote pale Duniani uwezi kupata support ya 100% kama unapiga raia moja kwa moja, ndio maana hata nchi za uarabuni zinashindwa kuingilia vita kwa sababu za Hamas kupiga moja kwa moja raia ambayo ni kinyume na sheria za Dunia.

USHAURI: Hamas kuishinda Israel mnapaswa kutumia Akili na si kupiga piga hovyo na kuwateka raia, mkifanya hivyo mtafanya mataifa mengine yazidi kuiunga mkono Israel na mwisho wa siku Israel itazidi kuwa na nguvu zaidi na ushawishi. Ikumbukwe nchi ya Israel inaruhusu uraia pacha, hivyo raia wa Israel wengi mnaowaua na kuwateka pia ni raia wa nchi nyingine, hivyo mtakuwa mnazipa morali nchi nyingine nazo kuiunga mkono Israel. Mfano raia wa Tanzania wawili hawajulikani walipo, hiyo ni go ahead moja kwa moja ya Tanzania kuiunga mkono Israel kwa sababu Hamas wameteka au kuua watanzania, japo Bongo nyoso haiwezi kutoa kauli. Hivyo hivyo nchi nyingine nazo mkiua raia wake. Israel hapa alijitoa kwenye kuua raia, yeye hasa hasa anatungua magorofa matupu yani safisha mji na kambi za Hamas tu, jambo linalompa mashiko.
Hao akili hamna , sijui wanawaza nn , hit and run ni ujinga, ngoja wachezee
 
Hao Hamas si mliwatambia kuwa kila raia wa Israel ni mjeda? Basi ndio siri ya kichapo cha yeyote watakayemkuta njiani wanajua ni mwanajeshi huyo.
Kuua raia wasiokuwa na hatia kwenye tamasha la mziki ni jambo la kufurahia
 
Once unapokuwa muumini wa dini ile akili ya kufanya jambo kwa weledi na kuamua mambo hutoweka. Unafanya kiholela tu,
Ni kuua raia kwa kuchinja, kujitoa muhanga, kupiga mabomu raia... Sasa kwa nini wasiende kupigana na wanajeshi wenzao 😂
 
Hujasema lolote la maana.Hapo unajadili kikundi kisicho na silaha dhidi ya taifa lenye silaha za kisasa
Kundi gani lisilokuwa na silaha.... Yani unataka kusema Hamas hawana silaha wakati wamepiga risasi na mabomu raia huko kwenye tamasha la mziki. Wameruka na paragliders kwenye mpaka wa Israel. Wamemimina makombora ya angani na wanaua raia.

Hii point yako ifanyie marekebisho
 
Hizo ng'ombe za kizayuni ni magaidi pia ,wameshambulia hospital yote bila kujali Kuna wagonjwa.USA ni mnafiki pamoja na usharika wake.. Chuki ya USA ni dhidi ya uislamu tu hana jipya maana walishasema hawapigani na ugaidi ila wanapigana dhidi ya uislamu.
Wazee wa majambia. Allah akbar. Hivi wanavyosema vile ndio uislam unavyotaka au wanajiongeza?
 
Hizo ng'ombe za kizayuni ni magaidi pia ,wameshambulia hospital yote bila kujali Kuna wagonjwa.USA ni mnafiki pamoja na usharika wake.. Chuki ya USA ni dhidi ya uislamu tu hana jipya maana walishasema hawapigani na ugaidi ila wanapigana dhidi ya uislamu.

Magaidi hujificha hospitali na hata misikiti hutumika kujificha na kuweka silaha zao humo,magaidi yauwawe popote yalipo.
 
Hujasema lolote la maana na huna akili ya kuwashauri Hamas.Hapo unajadili kikundi kisicho na silaha dhidi ya taifa lenye silaha za kisasa na kusaidiwa na mataifa makubwa wanaopigana baada ya kuuliwa watu wao kwa malaki .Watu hao hawali na wala kulala vizuri tangu utoto wao.Sifikiri kuwa wana uwezo wa kutofautisha katika ya raia na askari.Na raia hao hao ndio wanaolala kwa raha kwenye ardhi zilizoporwa kwa wazazi wao.
Tanzania nayo kwa miaka yote hiyo haikuwa na ubalozi nchini Israel na haikuwa na ushirikiano nayo katika mipango yake.Kipi kimepelekea kuanzisha uhusiano mzuri na taifa hilo ambalo Tanzania inajua linawakandamiza na kuwaua watu wa Palestina.Katika kipindi hiki tangu Tanzania ifungue ubalozi wake Israel kumetokea unyamna mkubwa sana dhidi ya Palestina na sisi tumefumbia macho moja kwa moja hali hiyo.
kwa hiyo unaona sawa raia wetu watekwe huko kwa kuwa tumefungua ubalozi israel? Tulichelewa sana kufungua ubalozi wetu israel. Tz ni huru
 
Back
Top Bottom