Namna ya kujihami na Panya Road au Makundi ya namna hiyo

2016 kitaani kwetu kulizuka huu upumbavu wa hivi vitoto tena bado vinanuka maziwa kabisa, vimejiunga kundi kama la watoto 30 hivi mchana kutwa ni kuvuta bangi halafu usiku vinaingia kitaani kufanya matukio.
Vilibahatika kupiga matukio kwenye nyumba kama 3 hivi, vikawacharanga mapanga wenye nyumba na kuchukua pesa, simu, tv na vitu vingine vidogo vidogo.
Wanaume tukakaa chini kujadili eti watu wanadai tupeane zamu ya kulinda usiku (Sungusungu)
Katika huo mjadala tulikuwepo watu kama wanne tukapinga kabisa suala la kupeana zamu ya kulinda, yaani vitoto vya darasa la saba kweli vituzuie wanaume tusilale usiku?
huo tuliona ni zaidi ya upumbavu, yaani mchana kutwa tunashinda kazini halafu inafika usiku tusipumzike kisa hivi vikinda vilivyokosa malezi.
Tuliitisha kikao na wananchi wote kitaani na kutoa onyo kwa wazazi wawakanye hao panya wao ili mbele ya safari tusije kulaumiana.
Katika kikao wananchi wakawa wanataja majina ya hao watoto wanaojihusisha na huo uhalifu, tukapata orodha ya majina kama 17 hivi ya watoto tunaowajua kabisa hapo mtaani kwetu na wazazi wengine kukiri kabisa kua watoto wao wamekua na mienendo ya hovyohovyo.
Siku ya pili baada ya kile kikao panya road wakatuma salamu kwa kumvamia kiongozi mmoja wa dini hapo kitaani kwetu wakamcharanga kidogo mapanga halafu wakaiba walivyoiba na kutokomea.
Asubuhi kumekucha baada ya taarifa kuenea tukaona huu ndio wakati muafaka sasa wa kuanza kuwawajibisha hawa watoto wanaoanza kuota mapembe,
pitia katika yale majina tukaanza kuingia nyumba kwa nyumba tukabahatika kuwadaka madogo wawili, tukawafinya haswa haswa wakakiri wenyewe walihusika kwenye tukio la jana na wakataja majina ya wenzao, baada ya kumaliza kutaja majina wananchi wenye hasira kali wakaanza kutembezea mapanga na matofali kisha wakamalizia na kidumu cha petrol.
Ukaanza msako wa majina yaliyobakia jioni akamdakwa dogo mwingine, nae akafanyiwa vilevile kama walivyofinyiwa wale wenzake wawili.
Wazazi waliowapenda watoto wao baada ya kuona wananchi tumeamua kua serious faster wakawakimbiza mikoani ili kukwepa hukumu ya wanachi wenye hasira kali.
Zile sura kwenye ile orodha yetu tulikaa zaidi ya mwaka hatukuziona tena mtaani, na hua ndio ukawa mwisho wa upumbavu wa aina yoyote hapa mtaani kwetu.
Kikubwa hawa madogo ni kuwachekea chekea ndio wanajifanya manunda ila wananchi wenyewe wakiamua kua serious huu upumbavu hauwezi kuwepo kwenye jamii yoyote.
Mtaa ganinhuo mkuu
 
Hao madogo mkimkamata mmoja mnakata kichwa kama walivyokuwa wanafanya ISIL, mnakitupa hapo hapo mtaani watakuja polisi kuzoa maiti, wakija tena mchezo ni huo huo kata kichwa !
 
Nadhani tuwe makini na baadhi ya maneno. Kiswalihi kina utajiri wa maneno, wala haina haja kutumia neno ambalo linaleta maana isiyo na maadili katika jamii yetu (hasa watanzania).

Inawezekana linafit mahali lilipotumika, lakini lina maana mbili tofauti, ambapo maana ya pili inaleta ukakasi. Ikitokea hivyo, basi tuweke neno lingine hata kama halitafit kama lile la mwanzo. Hii itaepusha taharuki katika jamii husika.

Kwa mfano, washirika wanashirikiana (hii sawa), lakini kusema wanajamii wanajamiiana, hii sio sawa, kwani sentensi hiyo ina maana zaidi ya moja, ambapo maana nyingine, kimaadili, hatupaswi kuisema kama hapana ulazima. Ingetosha kusema, ''wanajamii wanasaidiana'', na watu wangeelewa bila tatizo lolote.
Shkamoo mwalimu. Kuna ajira za kwenda Marekani kufundisha kiswahili.
 
Magufur alikomesha vibaka,, kuanzia 2017 na 2018 mtaani mwanza mtaan kwetu vibaka walipotea , wengine walikimbia na kuhama kabisa.

Kulikua na opereshen ya kimya ,, nilisikia vibaka walikua wakikamatwa hawapelekwi polis wanapelekwa kuna sehem inaitwa kigoto anapigwa risas jiji wanaenda kuzika.

Kuna watu kama wa 4 nawafaham walikua vibaka walipotea mazingira ya kutatanisha mpka leo haijulikan walipo hata gerezan hawapo. Inasemekana waliangukia kwenye hiyo opareshen ya tokomeza vibaka ni risas hata familiar yako haipat nafas ya kujua umepatwa na nini.
 
Noma Sana hiyo
 
Safi sana mkuu,katika hayo masekeseke ya Kupitia orodha ya Panya Road na kuwaadabisha kiasi cha wengine kutorokea mitaani basi mmoja ya waliotoroka alikuwa mtoto wa kaka yangu alikuwa anaishi Mbagala Charambe akatoroshewa huko Morogoro ndanindani na kaka yangu maisha yakaendelea. Sasa huko alipoenda bhana akawa organizer wa kundj jipya la Panya Road nikawa naskia matukio yake tu mara kaiba pikipiki yeye na kundi lake,mara kachanachana khanga ya dada yake vipandevipande,mara yeye na wahuni wenzie wamevamia kilabu cha pombe za kienyeji na kupora nikamwambia bro huyu mtoto kama kakushinda hebu niachie mimi nimfundishe adabu,Bro akanipa baraka zote nilichofanya mimi sukuma ndinga vuup mpaka Kijijini nikamwambia dogo kuna kazi nataka tukaifanye mjini chukua na washkaji wako kama watatu hivi twende nao nikajua tu kwamba angewachagua tu wale wa kwenye cycle yake na wao nilitaka niwafinye kidogo hili wamuone dogo kama ukoma hata akija siku nyingine wasimpe kampani. Basi bhana hao mpaka Dar kuna jamaa zangu wapo pale Oysterbay police post nikawapa mchongo wote basi nilivyowafikisha tu madogo tukaenda huko nje ya mji maafande wakiwa na gwanda zao vilevile aisee walitoa kibano mpaka huruma ikaanza kuniingia hakuna rangi au mateso ambayo wale madogo hawakuacha kuyaona..Tangu siku ile dogo respect sana siku hizi yupo South naambiwa katulia huyo anauza mini supermarket huko...Sometimes wazazi wetu wa uswahilini wanachangja ongezeko la Panyaroad kwa kuwakingia kifua
Kibano sio dawa ya hawa wapumbavu,nenda uone wanavyodundwa police, unaweza ukamuonea huruma mwizi wako.Lakini akitoka tu ndani wizi kama kawaida,wizi ni Roho.
Na wezi wote upewa jeuri na waganga wa kienyeji, maana mganga ni mfanyabiashara
 
wahuni cku zote jichanganye nao ata kama wew sio muhuni.. wafnye kuwa rafiki ;ukikutan nao sehem za bata watembezee ata dusko au ata fegi kama uko vizuri ;iyo itafanya wakujue na pia utaishi kwa usalama mtaa huo.
Shetani hana rafiki,we jichanganye nao watakuchora ramani utaibiwa na wahuni wenzao wa mtaa wa pili
 
Mimi siwezi kuwapa wahuni hela kwa ajili ya kujenga nao urafiki , eti wakinidaka usiku waanze "mwanetu mkaushieni" sifanyi huo ujinga !! Tukikutana tukiwashe kiume tunaupanga hapo atakayeshindwa fresh, Hela nitafute kwa jasho halafu nilipie na Bima ya kutokabwa usiku ! Tupigane au mkiniotea nichomoeni !

Haya na wote tukilipia hiyo Bima ya kutokabwa na tukajenga nao urafiki watamkaba nani sasa !! Automatic wataturudia sisi wenyewe

Wahuni ni nimekutana nao mara nne ! Tatu kati ya hizo ni juhudi zangu !! Moja walinidaka naenda kusali alfajiri ile ibada ya kwanza kama saa 11:30 hivi nilikua na buku 5 na 700 ya sadaka ! Nikaona kizazi waishi nayo tu !! Nikarudi ghetto !

Tusiwalee,
 
Nimekulia Manzese

Muhuni hana sababu kama vile mchawi
 
Dawa ya wahuni ni Moto tuu!
 
Wee jamaa jinga sana. Eti Watu wafanye mazoezi ya yoga ili kujiandaa na uvamizi wa Panya Road. Unavyo force mambo utadhani unajibu swali la mtihani.
 
Back
Top Bottom