Zwazwa ni mama yako aliyekuzaa taahira wewe.Jitu hata kodi ya nyumba linashindwa kulipa kazi kukwepana na baba mwenye nyumba Leo mumchangie Mbowe, mmesahau hata mama zenu vijijini wanapata tabu hela hawana. Watakaochanga ni mazwazwa
Kalaghabao wewe! Mbowe ni mfanyabiashara wala sio mwanasiasa! Yuko hapo kimaslahi! Wajinga ndio waliwao!
Kosa kubwa sana hiliYani on other side CDM wamepata Milleage ya kutosha unknowlingly..
Imekuuuma Sana kunywa sumu, sisi hatujachanga kumpa mbowe tumechanga kukupa wewe mwenye tamaaa ya kufikiri kuwa hizo hela unazofilisi watu xitakuzika,Kalaghabao wewe! Mbowe ni mfanyabiashara wala sio mwanasiasa! Yuko hapo kimaslahi! Wajinga ndio waliwao!
hawajaamini kinachotokeaSipat picha aliesoma hukumu anahali gan na alioshauriana nao
Wametupaa bustaaaYani on other side CDM wamepata Milleage ya kutosha unknowlingly..
Shime shime Watanzania wapenda demokrasia tuchange,mie nimeshachanga,wewe je?Updates hadi kufikia muda huu, saa 4 asubuhi, michango kwa njia ya simu na fedha taslimu ni Tsh. 136,546,800.
Updates zinazohusisha michango inayopitia benki tutazitoa baadae.
Tumefikisha 136,546,800/-
Sent using Jamii Forums mobile app