Namna ya kuchangia faini ya Tsh. Milioni 350 waliyohukumiwa kulipa Viongozi wa CHADEMA

Kufuatia hukumu ya kina Mbowe na wabunge wetu jana ya kulipa faini zaidi ya milioni 300,hamasa ya kuwachangia imekuwa kubwa ajabu.

Mpaka kufikia alfajiri ya leo zilikuwa zimepatikana 108,262,000. Hongereni sana wapenda haki wote Tanzania na dunia nzima. Nitumie fursa hii kuwahamasisha mzidi kuchangia zaidi na zaidi.

Ujumbe mnaoutuma kwa wakandamizaji ni mkubwa sana. Niwajuze baadhi ya watu wanaoakatisha tamaa kwamba kina Mbowe na wenzake wanao uwezo wa kulipa, kwa nini wachangiwe? Jambo la muhimu hapa sio kina Mbowe kukosa uwezo wa kulipa, bali ni ujumbe mzito tunaoupeleka kwa wakandamizaji. Tunataka wafahamu kwamba tupo nyuma ya kina Mbowe na hatufurahishwi na ajenda za wakandamizaji.

Wametukataza kuandamana,tumeandamana kupitia michango.

Heko Watanzania
 
Screenshot_20200311_120001_com.twitter.android.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kalaghabao wewe! Mbowe ni mfanyabiashara wala sio mwanasiasa! Yuko hapo kimaslahi! Wajinga ndio waliwao!
Imekuuuma Sana kunywa sumu, sisi hatujachanga kumpa mbowe tumechanga kukupa wewe mwenye tamaaa ya kufikiri kuwa hizo hela unazofilisi watu xitakuzika,

hukuwahi kutarajia kushika nafasi hiyo umejikuta unataka kufilisi kila mtu, tinakuonesha kuwa tuna umoja na kumuhitaji huyo mbowe kuliko wewe na hiii tumefanya Kama salamu kwako na Kwa dunia kuonesha kuwa sisi tunachukizwa na tabia yako,

hapa tumekupiga vibaya japo una majeshi na manzi ya choooni Lakini umejikuta unapigwa na raia vibaya, hivyo unatapa tapa maaana wewe utakuwa ndio umehusika na mchakato wa kutaka kumfilisi mbowe Au ndio vibaraka wa yeye kunywa sumu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom